Kitu gani unajutia kufanya maishani?

Kitu gani unajutia kufanya maishani?

Najutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi nimgeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
Masters ya nini?

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Najutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi ningeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
Aisee polee,
 
Mi najutia kuoa kwa sababu nimedisplay nyumba zangu na asset zangu zote kwa huyu mke wangu wakati huo nikiamini ni nimepatia kuoa ila kwa sasa mke wangu amekuwa mtu wa ajabu kidogo tu anasema kila mtu ashike hamsini zake roho inaniuma nakosa pa kuanzia na ametarget mali na kajua mimi nawapenda watoto na siwezi kuamua kuivunja ndoa.
Anyway right now natafuta mwanamke mgumba asiezidi miaka 30 mwenye skills za kibiashara ili nihamishe hisia maana mambo yangu yanasimamq kwa speed mno.
Nakuelewa, pole mkuu
 
Najutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi ningeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
Inafurahisha na kusikitisha pia, ila amini elimu haijawahi kumtupa mtu, kitu utakacho kosea ni kukata tamaa!
 
Wakuu ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya maishani mwako.

Kwa upande wangu najutia sana kusoma Bachelor moja kwa moja toka Advance badala ya kuanza diploma au certificate ningekuwa nimesha ajiriwa au kupiga hatua kwa namna moja au nyingine kielimu kuliko kukaa na vyeti vya Bachelor ndani na ajira hakuna.

Ni jambo gani unajutia maishani?
Mkuu, wewe bado ni mdogo sana. Mimi nimefanya kazi kampuni 5 mpaka sasa na nilimaliza chuo mwaka 2011, nikakaa kitaa miaka 3 kisha mwaka 2014 huyoo nikalamba shavu. Usikate tamaa mdogo wangu..
 
Najutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi ningeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
Una miaka 10 jf, kwanini usifungue uzi kuelezea naamini atatokea mtu wa kukusaidia.
 
Daah!! Situation yako ni kama yangu mkuu
 
Una miaka 10 jf, kwanini usifungue uzi kuelezea naamini atatokea mtu wa kukusaidia.
Kweli kabisa najua JF ina watu wa aina mbalimbali na wenye moyo wa kusaidia. Humu kuna maboss na waajiri wengi asante sana kwa wazo nitalifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom