Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Ni rahisi namna hiyo.Kama wewe ni mwanaume Mgawane au MMwachie vyote ukatafute vingine
Unajua ugumu na machungu ya kuanza mwanzo??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rahisi namna hiyo.Kama wewe ni mwanaume Mgawane au MMwachie vyote ukatafute vingine
Masters ya nini?Najutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi nimgeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
Wana hisi ni vyepesi kutengana, na vitu ulivyo pambania usiku na mchana kisa mwanamke na watoto.Ni rahisi namna hiyo.
Unajua ugumu na machungu ya kuanza mwanzo??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Business administrations...( MBA)Masters ya nini?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Serikalini ni dili sanaaa hiyo kwasasa.Business administrations...( MBA)
Aisee polee,Najutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi ningeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
Amina, ukiona opportunity ya kuhusu naomba ushee nami nili major kwenye Marketing.Serikalini ni dili sanaaa hiyo kwasasa.
Hasa MBA major ni Accounting or Marketing.
Mungu akusimamie.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Asante mkuu kuna maamuzi mengine mru unatamani ungeweza kurudisha muda nyuma usiyafanye.Aisee polee,
Nakuelewa, pole mkuuMi najutia kuoa kwa sababu nimedisplay nyumba zangu na asset zangu zote kwa huyu mke wangu wakati huo nikiamini ni nimepatia kuoa ila kwa sasa mke wangu amekuwa mtu wa ajabu kidogo tu anasema kila mtu ashike hamsini zake roho inaniuma nakosa pa kuanzia na ametarget mali na kajua mimi nawapenda watoto na siwezi kuamua kuivunja ndoa.
Anyway right now natafuta mwanamke mgumba asiezidi miaka 30 mwenye skills za kibiashara ili nihamishe hisia maana mambo yangu yanasimamq kwa speed mno.
Inafurahisha na kusikitisha pia, ila amini elimu haijawahi kumtupa mtu, kitu utakacho kosea ni kukata tamaa!Najutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi ningeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
I just don't know bro, ni miujiza ya mola tu.Ulichomokaje kwenye hili, uliponaje.
Mkuu, wewe bado ni mdogo sana. Mimi nimefanya kazi kampuni 5 mpaka sasa na nilimaliza chuo mwaka 2011, nikakaa kitaa miaka 3 kisha mwaka 2014 huyoo nikalamba shavu. Usikate tamaa mdogo wangu..Wakuu ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya maishani mwako.
Kwa upande wangu najutia sana kusoma Bachelor moja kwa moja toka Advance badala ya kuanza diploma au certificate ningekuwa nimesha ajiriwa au kupiga hatua kwa namna moja au nyingine kielimu kuliko kukaa na vyeti vya Bachelor ndani na ajira hakuna.
Ni jambo gani unajutia maishani?
Sahihi, ila kuna wengine tuliacha kwenda chuo ili tutengeneze ajira kwa wengine ila bado mambo hayajawa stable enough.Asante mkuu kuna maamuzi mengine mru unatamani ungeweza kurudisha muda nyuma usiyafanye.
Una miaka 10 jf, kwanini usifungue uzi kuelezea naamini atatokea mtu wa kukusaidia.Najutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi ningeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
Daah!! Situation yako ni kama yangu mkuuNajutia sana baada ya kumaliza degree nikaenda kusoma masters, huo muda bora ningekuwa nafanya hata internships nipate uzoefu wa kazi ningeshajipatia ajira au ile ada ningefanya biashara tuu.
Miaka 6 sasa hakuna cha maana mtaani hata hayo makaratasi hayajanisaidia chochote.
Tupo pamoja mkuu.. Ikipatikana fursa tushtuane hali yako ni sawa na yanguAmina, ukiona opportunity ya kuhusu naomba ushee nami nili major kwenye Marketing.
Kweli kabisa najua JF ina watu wa aina mbalimbali na wenye moyo wa kusaidia. Humu kuna maboss na waajiri wengi asante sana kwa wazo nitalifanyia kazi.Una miaka 10 jf, kwanini usifungue uzi kuelezea naamini atatokea mtu wa kukusaidia.