Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Wewe Jamaa n CIA wa kujitegemea
 
Kuna jamaa flani hapa mtaani kwetu huwa anawapiga kamba watu kuwa yuko TRA kitengo cha walipa kodi wakubwa,lahaula kumbe jamaa ni dalali tu maeneo ya mwenge,siku nimemkuta kwenye majukumu yake ya udalali akaniambia dogo kausha haya yote ni ili tupate ugali wa watoto.
 
Nlimshuhudia mke wa ndugu yangu akichepuka na mme wa mtu kwenye moja ya maeneo mkoa flani jina kapuni licha ya kuwa kamuaga mumewe anaenda msibani.[emoji23][emoji23][emoji18][emoji18]


Jamani ndoa zina mambo mengi acheni
 
With all due respect mkuu si kila maandishi ya kiarabu ni quran ungefuta hilo neno hapo uwe na siku njema
 
Nilinyang'anywa usafiri wa ofisi baada ya kuhama idara ile.
Pale kazini,viliwekwa vikao vya kunisema&kunikejeli hatari.
And the chairmen were my
best friends.
Na hawakujua kama nawaona&kuwasikia.
(Sitakaa nisahau😂😂😂)
Huu usafiri,sikuwahi kumbania mtu kabisa..sikuwa na hila&mtu.
After two weeks,nilipata usafiri wangu,kwani
kabla ya kuhama idara niliyajua hayo,hivyo nilianza mapema
kujipanga.
Sijawahi kuwaambia chochote.
Ila,sisi wabongo tunatisha
kwa unafki aisee😂😂
 
Ww ni T-Bag
 

Noma sana
 
Mzee Zubery ana fuvu la mtoto ndani kwake lipo kwenye ungo kalifunika Kaniki jeusi


Nilijua baada ya kufanya attempt za kumuibia sabufa yake

Niliamua niiache nikapanga vitu kama nilivyovikuta
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mzee zuberi katisha🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dah [emoji23][emoji23]
 
Dah aisee
 
Ahahaaaaa Ahahaaaaa
 
Ahahaaaaa
 
Duh aisee
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…