Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Mzee Zubery ana fuvu la mtoto ndani kwake lipo kwenye ungo kalifunika Kaniki jeusi


Nilijua baada ya kufanya attempt za kumuibia sabufa yake

Niliamua niiache nikapanga vitu kama nilivyovikuta
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Hii inaitwa where we dare to speak openly🀣🀣🀣🀣🀣
 
Safi tutakupa uraia wa Russia [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ile nimeambiwa nikamuite sister tupate msosi wa jioni mi nikachungulia kwanza chumbani si nikakuta amepanua anainyoa. Nikarudi kinyumenyume halafu kwa mbali nikaita....akaitika...ondoka rudi kwa mama nakuja.
Daah umefika mbali sana mkuu
 
Hayo mambo yapo ni kawaida wewe tu ndo inaonekana uzoefu hujawa nao. Unaweza kuta wewe wa nje ndo unadhani yeye na mumewe wanapendana kumbe huko ndani wanalala vitanda tofauti.
 
We Jamaa bora ya Mnyongaji kuliko wewe, yaani unamuua Mtu Kiakili[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Jamaa zangu ofisini wanapenda kunisema kila nikitoka nje hawajui naachaga simu record ikiwa on. Baadae nakaa nawasikiliza[emoji2][emoji2] hawajui kuwa nawajua ni MASNITCH TU.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€wee kibokoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…