Kitu hiki kimoja unachokosa ndiyo kitakachokuzuia usipate mafanikio makubwa

Ukisoma wewe na ukapata hayo so called "mafanikio" kuna tatizo gani mkuu?
 
Hongera mkuu, pia samahani kama comments zangu zinakera wakati mwingine, naomba ufafanuzi hapo kwenye
From 2015-2020 vitabu 17.
From 2020-2030 vitabu 100(Matarajio yako) je ni madiliko ya technology au uzoefu kuwa mkubwa?
 
Mtu haujafanya kitu kikubwa halafu unaandika kitabu. Sipendi mimi watu kama nyie. Yani afadhali hata Diamond Platnumz japo na yeye ni feki mara nyingine.. ila ana jina kubwa. Angeandika kitabu yeye ningekinunua.

Diamond hawezi kuandika chochote hata yeye hajui hayo unayoita mafanikio kwake yamekujaje
HAKUNA ANACHOFANYA ZAIDI YA KUPIGA KELELE ZA MATUSI KURUKARUKA KAMA NGEDERE TAYARI HELA INAINGIA
 

HAKUNA UBATIZO WA MAFANIKIO HUO NI UTAPELI MKUBWA WAKUDANGANYA KUPITIA HADITHI ZA ALFULELA ULELA

NINACHO AMINI NA NDIVYO ILIVYO MASUALA YA MAFANIKIO HUPANGWA NA MUNGU ILA JUHUDI KUELEKEA MAFANIKIO HAPO NDIPO HUTEGEMEA JUHUDI YA MTU LAKINI HAKUNA MISINGI MAALUM YA KUFANIKIWA KWA HALI YA JUU.
 
Mtu haujafanya kitu kikubwa halafu unaandika kitabu. Sipendi mimi watu kama nyie. Yani afadhali hata Diamond Platnumz japo na yeye ni feki mara nyingine.. ila ana jina kubwa. Angeandika kitabu yeye ningekinunua.
Acha ufala uandishi ni taaluma sio kila mtu anaweza kuandika andiko la kuibadilisha jamii, huyu Dr Amani ni msomi na mtafiti sio kanjanja.
Pia watu ma genius walioishape dunia tulipofikia sasa hakuna tajiri hata mmoja. Walikua tabaka la chini bt matajiri wa akili na maarifa
 

walionacho, ambao ni mabilionea na sisi tusionacho ni mentality tu. jinsi wao wanavyo liona jambo ama fursa ni tofauti na wewe kapuku mwenzangu na bilionea

kwa mfano, mwnye mentality ya ubilionea na siye ambao hatuna, ikitokea tumeajiriwa na kulipwa laki moja kwa mwezi, wewe na mm tutatumiq elfu themanini na kuhifadhi elfu ishirini, while mwenye mentality ya ubilionea atatumia elfu ishirini na kuhifadhi elfu themanini
 
Wewe na Trump nani mwenye mafanikio
 
Pointi
 
A Asante tutakuja Boss
 
Hongera mkuu, pia samahani kama comments zangu zinakera wakati mwingine, naomba ufafanuzi hapo kwenye
From 2015-2020 vitabu 17.
From 2020-2030 vitabu 100(Matarajio yako) je ni madiliko ya technology au uzoefu kuwa mkubwa?
Karibu mkuu, wala hunikeri, napenda sana watu wanapokosoa kwa namna yoyote yale ninayoandika, kwani inanisukuma kufikiri zaidi na pia inanipa mengi zaidi ya kuandika.
Kuhusu lengo hilo la vitabu 100;
Moja, uzoefu unaongezeka kadiri ninavyokwenda na vitu vya kuandikia vinakuwa vingi kila siku.
Mbili, kwa sasa nimepunguza mambo mengi niliyokuwa nafanya huko nyuma, hivyo napata muda zaidi wa kuandika. Kwa mfano kwa sasa naweza kupata masaa matatu ya kuandika kila siku, kitu ambacho kwa mwezi naweza kukamilisha kuandika kitabu.
Karibu sana.
 
Safi sana mkuu, asante kwa ufafanuzi mzuri usioleta maswali ya ziada.
 
Asante mkuu, wengi huwa wanachukulia uandishi poa, ila ukiwaambia wakae chini na kuandika hata kile tu wanachofanya inakuwa shughuli.
 
Mkuu una matatizo makubwa sana jichunguze. Kuna vitu haviko sawa kwako
 
Nice broo kwakua nayo ni Moja ya njia Yako ya kuyafikia mafanikio Yako nakupongeza kwa bandiko
Ila wapuuzie Wanaokubeza sababu hawajui unapitia ileile njia ngumu na kujitoa kafara ufikie mafanikio Yako,
Kuandika kitabu chenye page zaidi ya 300 inakugharimu muda na Nguvu na hiyo ipo Kwenye kipengere Cha kutoa kafara maana huo muda unaotenga kuandika ungeutumia vibaya Kwa kufuatilia pisi ya kula tunda kimasikhara usingefika ulipofikia,

Big up never give up!
 
Mkuu una matatizo makubwa sana jichunguze. Kuna vitu haviko sawa kwako
mkuu waafrika wengi tuna tatizo la wivu,chuki,ujuaji,roho mbaya,husda, uchawi ,ujinga
Ndio tulivyo badala ya kutiana moyo ila Kuna kundi la Watu wataibuka kukubeza tu yote hiyo inatokana na frustration na roho mbaya
Nakuapia yule jamaa
Mwingereza - Mzanzibar aliyechukua tuzo ya Nobel
Angekua kakulia hapa bongo hata asingefika levo Ile sababu ya uduni wa akili za raia hapa bongo!

Wabongo wanafki sana!
 
Nashangaa sana hao wanaombeza na malandcruser yao, wakati wao walitamani mafanikio ya magari na Makirita alitamani mafanikio yake ya we ni utunzi wa vitabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…