Kitu hiki kimoja unachokosa ndiyo kitakachokuzuia usipate mafanikio makubwa

Nashangaa sana hao wanaombeza na malandcruser yao, wakati wao walitamani mafanikio ya magari na Makirita alitamani mafanikio yake ya we ni utunzi wa vitabu
Ndio wabongo tulivyo mkuu tunaamini mafanikio ni kua na pesa nyingi,ila wanasahau Kila mtu ana kipimo chake Cha mafanikio
Yule mwandishi aliechukua Nobel prize ya Literature kule UK angekua bongo angekua kashakata tamaa Kwenye harakati now angekua Kwenye mwanasiasa uchwara ila sababu alikua Dunia ya kwanza Ndio tunaona mafanikio yake
Kweli aliyeimba bongo bahati mbaya hakukosea Aisee hii nchi Ina wajinga wengi
Shithole
(In Trump voices)
 
yaani unatwambia mwandishi ni kama mshumaa,ameamua kuteketea ili wengine wapate kuona njia.

lakini anauza vitabu hatoi bure[emoji3166][emoji3166][emoji3166]

ukiitiwa fulsa.............
NOTE
sina ugomvi na mleta mada
Hakuna kitu cha bure ... ametumia muda wake , nguvu zake , akili yake alafu akupe BURE... kila mtu anatakiwa alipwe kwa anachokifanya kwa wengine ... it’s what its
 
Hakuna kitu cha bure ... ametumia muda wake , nguvu zake , akili yake alafu akupe BURE... kila mtu anatakiwa alipwe kwa anachokifanya kwa wengine ... it’s what its
Naona watu wamekariri tu "eti ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ndo fursa" zaidi ya hapo hajui kitu kingine
 
Kweli mkuu, ndiyo maana tusipangiane wala kupeana/kuuziana vitabu. Kila mtu ana njia yake. Tambua anayetaka kukuuzia kitabu siyo kwamba ana huruma na wew kutokuwa na mafanikio ila anataka atoboe kupitia wewe.
Kuna wengine wanatka kushirikisha watu wengune kwenye mambo mema.
Hiyo kuuza ni kulipia gharama za vitendea kazi na kumwezesha apate shibe na huduma zingine za msingi za kibinadamu.
 
Acha ulaghai....
Umefanya nini kinachokupa uhalali wa kuwaelekeza wengine au kuwa kocha wao?

Hicho kitabu ni tailored plagiarism tu ya vitabu vya wazungu.

Umeifanyia nini nchi kiuchumi au wewe mwenyewe kwanza.

Ontario akifanikiwa kwa sababu angalau alikuwa na takwimu feki na angalau picha akitunukiwa certification za maana
 
Vitabu vyake ni 5000., 10000 na 20000 sidhani kama ina-cost kiasi hicho kumfanya mtu aseme anapigwa ... perception tu za kibongo kurudishana nyuma na kukatisha watu tamaa
Vitabu baada ya kusoma vitabu, nitofauti na vitabu baada ya kupractice nondo za vitabu katika uhalisia.

Hapo ndipo upigaji unaanzia. Chanzo cha utajiri kiwe ni kuuzA vitabu na kutoza watu ada kwenye magroup. Hakuna nchi iliyoendelea kwa ujanjaujanja
 
Soma Kwanza ulichoandika ukifanye ili ufanikiwe afu toa ushauri tu.
Pitia kwanza huo ubatizo na utoe kafara.
Ila watu bana motiveshno spika wako poa sana
 

Trump ni billionea tena sio wa mchezo. Kinachofanyika ni kumchafua Trump na kumtoa kwenye reli ya kutambulika duniani na kuendelea kusimama kama mwanasiasa bora Duniani.
Hayo yote ni Propaganda hasa baada ya sera za Trump kua Kinzani sana na sera nyingi za watawala wa kidunia, wa chama chake baadhi na chama kikuu cha Upinzani.
Mara nyingi Trump hakupenda kupangiwa nini afanye na nini asifanye na kutokana na misimamo yake ndio hapo wakubwa wa Dunia chini ya kiongozi wa Dunia ( simtaji) wakaamua kumtoa na kumuweka kua kiongozi wa muhula mmoja.
Sasa kama unasema leo Trump hana lolote mimi niko tayari tukinzane kwa data ingawa naamini wewe data zako ni zile zilizopikwa tayari kumchafua Trump
Kama amekwepa kodi mbona hajapelekwa mahakamani hadi leo? Kama vitega uchumi vyake si Imara mbona bado hatusikii kutikisika kwake?
Mambo Haya ni magumu na yanahitaji elimu zaidi ya hii ya Dunia.
 
Mkuu,
Umesoma kitabu au unaproject kile kilicho kwenye mawazo yako?
Hebu pata kitabu ukisome, kisha uje hapa na ueleze ni wapi nimefanya plagiarism huku ukiambatanisha na sources.
Kinyume na hapo utakuwa umeamua tu kuropoka kile unachofikiri na unachodhani ndivyo kila mtu alivyo.
Karibu mkuu.
 
“Those who can, do; those who can’t, teach.”
— George Bernard Shaw
 
Soma Kwanza ulichoandika ukifanye ili ufanikiwe afu toa ushauri tu.
Pitia kwanza huo ubatizo na utoe kafara.
Ila watu bana motiveshno spika wako poa sana
Nimeshaupitia mkuu,
Na hapa ndiyo napambana kuufanyia kazi.
Na katika kufanya hilo, nawashirikisha na wengine pia.
Karibu twende pamoja.
 
Ni jambo la kushangaza na hata kuchekesha mtu anakuambia Trump hajafanikiwa.
Watu wengi wamemjua Trump baada ya kuwa raisi wa Marekani.
Ila sisi tunaomjua kabla hata hajawa raisi, tunajua yale ndiyo maisha yake.
The man is real na hanaga unafiki wa wanasiasa.
Hivyo ndivyo amekuwa akiendesha biashara zake tangu enzi na enzi.
Na mtu akipata nafasi ya kusoma kitabu chake alichoandika miaka mingi sana, THE ART OF THE DEAL, atamweleza namna anavyofikiri na kufanya mambo yake.
Anapotaka kitu, huwa anakitaka kweli na hutumia kila njia kukipata.
Tatizo watu hawajifunzi kwa kina, wanameza propaganda wanazolishwa kwa urahisi.
 
Wewe ambaye roho haikuumi na unataka kujifunza mbinu za kufanikiwa kwa ambaye hajafanikiwa kwa nini usipite kimya na kuchukua namba then unanunua kitabu tu bila kupiga kelele
Ukizeeka utakua mchawi mbeba hirizi matakoni.
 
Huu ni ujinga wa kgm 60 yaani nisome hicho kitabu ndipo nifanikiwe, endeleeni tu kula pesa za wavivu na wenye tamaa
 
NDIYO shida ya maskini walivyo wakipata hela

Sijawahi kuona mtu mshamba kama wewe
 
Hapa jf unapoteza muda wako bure bila kujua

Hapa watu wanatumia majina bandia and they have nothing to lose

Huwezi kubishana na mtu anatumia Jina bandia

Nenda Facebook au Instagram then run ads for your business

Usipoteze muda wako hapa

Hapa mtu anaongea atakalo na huwezi kumblock wala kufuta comment yake mpaka umtaarifu moderator

Usipoteze muda hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…