Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
😂Kuna Kazi Naenda Kuifanya. Nitawarudia Hapa Nikipata Muda baadae. Good time to everybody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Kuna Kazi Naenda Kuifanya. Nitawarudia Hapa Nikipata Muda baadae. Good time to everybody
Nimefanikiwa sana. Mimi nilizaliwa maskini sana. Na sasa hivi nimejenga mnoo na nina assets nyingine nyingi sana tu ikiwa pamoja na magari aina ya land cruisers mengi tu. Nina residence nchi ya nje ambako mshahara wangu unamzidi hata mbunge wa Tanzania. Na utanisikia tu kwa media in the years to come. I guarantee you.
Mtu haujafanya kitu kikubwa halafu unaandika kitabu. Sipendi mimi watu kama nyie. Yani afadhali hata Diamond Platnumz japo na yeye ni feki mara nyingine.. ila ana jina kubwa. Angeandika kitabu yeye ningekinunua.
Watanzania wavivu sana wa kusoma vitabu, ndio maana wanamshambulia mwandishi wa hiki kitabu as if kawakosea, jamani mwandishi yupo sahihi ametoa njia mbadala ameonhezea njia nyingine ya kufuata ili ufanikiwe...someni kitabu muuongeze maarifa acheni kumtweza mwamdishiNimefanikiwa sana. Mimi nilizaliwa maskini sana. Na sasa hivi nimejenga mnoo na nina assets nyingine nyingi sana tu ikiwa pamoja na magari aina ya land cruisers mengi tu. Nina residence nchi ya nje ambako mshahara wangu unamzidi hata mbunge wa Tanzania. Na utanisikia tu kwa media in the years to come. I guarantee you.
Asante kwa kumujibu mpotoshaji vizuriiMkuu,
Mimi sikujui wewe, lakini kuna kitu kimoja nina uhakika nacho kuhusu wewe, HUJAFANIKIWA.
Kufanikiwa hapa sizungumzii kuwa na nyumba au magari, bali kufikia uwezo mkubwa ulio ndani yako.
Hakuna mtu aliyefanikiwa kweli ambaye ana negative energy kama uliyonayo wewe.
Una insecurities nyingi ndani yako.
Hivyo ushauri wangu mdogo kwako ni huu, jijengee kujiamini. Jitambue kile cha tofauti na kipekee kilicho ndani yako na kifanyie kazi.
Ukifanya hivyo hutakuwa na muda wa kuattack watu wengine, maana utakuwa bize sana na mambo yako kiasi cha kutokujali nani anafanya nini na maisha yake.
Kama utapenda kufanyia kazi hilo, lifanyie kazi na litakusaidia mno.
Na kama ungependa kupata msaada zaidi wa kukusaidia kujenga mtazamo utakaokuwezesha kupiga hatua kubwa zaidi ya hapo ulipo sasa, nicheki wakati wowote kwenye namba 0717 396 253.
Karibu sana.
Karibu mkuu.Asante kwa elimu Dr.
Karibu mkuuAsante kwa elimu Dr.
Asante na karibu sana ujipatie kitabu ili kujifunza haya kwa kina zaidi.Asante sana Makirita Amani Kuna kitu kikubwa sana nimejifunza kwenye bandiko kabla hata ya kusoma kitabu
Asante sana mkuu.Naona nguvu kubwa inatumika kubeza lkn kwa sisi wengine acha tuseme shukrani mkuu kabla hatujapata kitabu tayari umetupa moyo wa kuendelea kupambana
Umeeleza vyema sana mkuu,Kumbuka katika binadamu kuna jambo la kujifunza.
Watu hufikiri kujifunza mpk kwa watu waliofanikiwa km Bill Gates na wengine.
Kuna watu wananjia za kutoboa lkn wameshindwa kutoboa lkn wewe ukazitumia ukatoboa.
Mfano hai
Tanzania ina maziwa, mbunga za wanyama, madini (Tanzanite, Dhahabu, Almasi, makaa ya mawe n.k) na ardhi ya kutosha lkn ni nchi masikini duniani.
Futa mawazo ya kujifunza kwa watu waliofanikiwa tu.
Kingine, acha roho za kiswahili. Umefanikiwa ndiyo lkn haupishani na mtu mchawi.
Jamaa kaandika kitabu, maelezo mazuri kwenye thread lkn wewe uliyefanikiwa umekaa tu hata kuandika kitabu hakuna. Unaweza kufanikiwa lkn bado ukawa na ujinga fulani hivi. Mwenzio kaandika, wewe povu km lote.
ACHA ROHO YA KICHAWI NDUGU. NDIYO MAANA AFRIKA HATUENDELEI KWASABABU YA KUONEANA WIVU. HICHO KITABU JAMAA KAANDIKA ROHO IMEKUUMA SANA?
Asante mkuu,Watanzania wavivu sana wa kusoma vitabu, ndio maana wanamshambulia mwandishi wa hiki kitabu as if kawakosea, jamani mwandishi yupo sahihi ametoa njia mbadala ameonhezea njia nyingine ya kufuata ili ufanikiwe...someni kitabu muuongeze maarifa acheni kumtweza mwamdishi
Asante sana mkuu,Mada nzuri sana Makirita Amani
Umeshare vizur knowledge kuhusu kufanikiwa.
Swali langu lipo hapa na ambalo wengi nadhan wanajiuliza.
sio kwako tu, il wanataman kuwauliza kwa Influencers, Mentors na Motivational speakers wengine.
Kwamba ww unajua siri iko hapa kwenye (Ubatizo wa mafanikio una vitu viwili vikubwa; KAFARA NA MASHARTI.)
Pamoja na Sijui how successful you are. ila kama hutojali embu niambie hapa.
umejitoa kwa kias gan kutafuta mafanikio?.
umefanya jambo gan gumu?.
umefanikiwa kwa kias gan?.
Najua ni mjasiriamali, how successful is your business?.
Nina watu wangu wawili wa karibu, baada ya kupata some knowledges kama hizo, wameishia kufungua makanisa na kuhubiri.
na mmoja yuko kwenye marketing business.
Mim nadhan bado connections ya kuwa na mafanikio well being (not spiritial - kama hao wawili niliowatolea mfano) bado haijgundulika haswaa ni nini.
Ingawa naungana na ww kuwa hayo uliosema ni nusu ya njia ya mafanikio.
ila mimi nina consider pia hizo factors zinazowapa mafanikio baadh ya watu na kuwanyima nyingine.
"Success usually comes to those who are too busy to be looking for it."
-- Henry David Thoreau
Watanzania wavivu sana wa kusoma vitabu, ndio maana wanamshambulia mwandishi wa hiki kitabu as if kawakosea, jamani mwandishi yupo sahihi ametoa njia mbadala ameonhezea njia nyingine ya kufuata ili ufanikiwe...someni kitabu muuongeze maarifa acheni kumtweza mwamdishi
Wewe ambaye roho haikuumi na unataka kujifunza mbinu za kufanikiwa kwa ambaye hajafanikiwa kwa nini usipite kimya na kuchukua namba then unanunua kitabu tu bila kupiga keleleKumbuka katika binadamu kuna jambo la kujifunza.
Watu hufikiri kujifunza mpk kwa watu waliofanikiwa km Bill Gates na wengine.
Kuna watu wananjia za kutoboa lkn wameshindwa kutoboa lkn wewe ukazitumia ukatoboa.
Mfano hai
Tanzania ina maziwa, mbunga za wanyama, madini (Tanzanite, Dhahabu, Almasi, makaa ya mawe n.k) na ardhi ya kutosha lkn ni nchi masikini duniani.
Futa mawazo ya kujifunza kwa watu waliofanikiwa tu.
Kingine, acha roho za kiswahili. Umefanikiwa ndiyo lkn haupishani na mtu mchawi.
Jamaa kaandika kitabu, maelezo mazuri kwenye thread lkn wewe uliyefanikiwa umekaa tu hata kuandika kitabu hakuna. Unaweza kufanikiwa lkn bado ukawa na ujinga fulani hivi. Mwenzio kaandika, wewe povu km lote.
ACHA ROHO YA KICHAWI NDUGU. NDIYO MAANA AFRIKA HATUENDELEI KWASABABU YA KUONEANA WIVU. HICHO KITABU JAMAA KAANDIKA ROHO IMEKUUMA SANA?
Kweli mkuu, ndiyo maana tusipangiane wala kupeana/kuuziana vitabu. Kila mtu ana njia yake. Tambua anayetaka kukuuzia kitabu siyo kwamba ana huruma na wew kutokuwa na mafanikio ila anataka atoboe kupitia wewe.bahati mbaya diamond hawezi kuandika kitabu maana ukweli halisi anaujua kwamba maisha yana kanuni nyingi sana sio moja kwamba ukiifata hiyo unatoboa.
unawezatoboa na usitoboe vile vile,ukaenda kutoboa ktk njia iliyomzamisha mwingine.
maisha yana kanuni zake yenyewe binafsi,hayaingiliwi kabisa na mipango wala mikakati yetu ya kila siku.ndio maana unawezasoma sana ukapata kazi nzuri sana yenye heshima,halafu tukakuta umefariki chooni ghafla tu.