Maeneo mbona watu wanauziana na kuhamia tu kwa utaratibu nchi nzima.Serekali iwapaie eneo kule chato wakachangamshe na kule pia naona chato kuna eneo kubwa sana na wakazi kiduchu sana
MTOA MADA AMEANDIKA VITU TOFAUTI KABISA KWA JINSI NILIVYOMSIKILIZA KIMEI
Alaaa Kumbe!!!!!!!! Nawe ukiwamo kwenye hilo kundiWatz wana roho mbaya, mpaka wanajifanyia roho mbaya wenyewe
kuna wengine walipelekwa Sumbawanga wakati wa awamu ya kwanzaYaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba waziri wa ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si mpunguze kuzaana.
Hivi huyu Mbunge na hao wachagga wenzie hawaijui Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu freedom of movement?
Hivi yeye mhe. Dr Kimei alipojenga Dar es Salaam na kupata ardhi kubwa Dar mbunge wake wa wakati huo ndio alienda bungeni kumuombea hiyo ardhi? Yaani kabisa anataka annexation ya mkoa wa Kilimanjaro! Au Vunjo nzima ni registered company?
Hivi hao Wasukuma waliojaa huko Mbeya na Morogoro waliomba wapewe hayo maeneo bungeni kupitia wawakilishi wao?
Kwa fikra zake kama hizi huyu bwana hafai kabisa kuwa kiongozi wa juu katika taifa hili kutokana na misingi yake.
Nadhani watu hawa waliitaji eneo kubwa sana mfano wa mkoa nadhani hivyo nadhani pia walipenda hata kuliita eneo hilo jina la kichaggaMaeneo mbona watu wanauziana na kuhamia tu kwa utaratibu nchi nzima.
Unasubiri serikali ikupatie eneo kwani wewe mkimbizi wa Burundi?
Mbona Kimara wamechukua bila ya msaada wa serikali?Nadhani watu hawa waliitaji eneo kubwa sana mfano wa mkoa nadhani hivyo nadhani pia walipenda hata kuliita eneo hilo jina la kichagga
Wale watu ni kweli hawana ardhi , kama kuna sehemu ipo wapewe tuKuna thread mtu kamtaja Kimei kama role model, mimi nikasema the guy is bogus.
!!!!!!?????Alaaa Kumbe!!!!!!!! Nawe ukiwamo kwenye hilo kundi
Sasa kama walishahamishwa, na hilo halijaleta ufumbuzi, kwa nini watu wanafikiri kuwahamisha tena watu ndiyo kutaleta ufumbuzi?wewe kweli wa jana. kwa taarifa wachaga waliwahi kuhamishiwa handeni, mpanda, kilosa nk. wakati wa awamu ya kwanza ili kuondoa msongamano. Haijaleta ubaguzi wowote na wamechanganyikana na wenyeji wao. Watu wa sasa ndio wabaguzi. NENDA HUKO UKACHUNGUZE
Ningekua mods ningefuta ile thread [emoji23][emoji23]Kuna thread mtu kamtaja Kimei kama role model, mimi nikasema the guy is bogus.
Watu wengi wanapenda kuparatia watu wenye majina makubwa bila kuangalia facts.Ningekua mods ningefuta ile thread [emoji23][emoji23]
Kwani kuna sehemu wamenyimwa?Wale watu ni kweli hawana ardhi , kama kuna sehemu ipo wapewe tu
Wa jana ni mbunge wao, na ndiyo maana comments nyingi zinauliza kwani wamezuiwa kwenda kwingine? au wanataka watengewe eneo wawe ni wao peke yao?wewe kweli wa jana. kwa taarifa wachaga waliwahi kuhamishiwa handeni, mpanda, kilosa nk. wakati wa awamu ya kwanza ili kuondoa msongamano. Haijaleta ubaguzi wowote na wamechanganyikana na wenyeji wao. Watu wa sasa ndio wabaguzi. NENDA HUKO UKACHUNGUZE
Wa jana ni mbunge wao, na ndiyo maana comments nyingi zinauliza kwani wamezuiwa kwenda kwingine? au wanataka watengewe eneo wawe ni wao peke yao?