Graduate wa English medium katika ubora wakeBut whatever they do a new place cant and never resemble to kilimanjaro [ kilimanjaro is kilimanjaro]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Graduate wa English medium katika ubora wakeBut whatever they do a new place cant and never resemble to kilimanjaro [ kilimanjaro is kilimanjaro]
Kuna thread mtu kamtaja Kimei kama role model, mimi nikasema the guy is bogus.
They will remain first class like it or kill yourself... Remember it's the brain that matter, once you have it no one can take it from you... Utaswaga ng'ombe sanaaaaa...
Serekali iwapaie eneo kule Chato wakachangamshe na kule pia naona chato kuna eneo kubwa sana na wakazi kiduchu sana
MTOA MADA AMEANDIKA VITU TOFAUTI KABISA KWA JINSI NILIVYOMSIKILIZA KIMEI
We siyo mtoto ni mpumbavu, awali ulisema Rukwa sasa unasema Katavi: Nakuelimisha, wakati wachaga wanahamishiwa Moanda katika Kata ya Mwese hapakuwa na mkoa wa Rukwa wala Katavi, ulikuwa mkoa wa Tabora. Ungekuwa unataka kuelewa naweza hata kukusomesha wachaga waliohamishiwa huko walitoka kata ipi na kwasababu gani walilengwa waoUtakuwa mtoto wa 90's wewe tena ni late 90's sio Earl 90's nakushauri rudi kajifunze kuhusu wachagga walioko katavi (wakati huo ni sehemu ya mkoa wa Rukwa) I never argue with children!
Thread hii ni muhimu, hoja iko bungeni, ngoja tusubiri majibu ya serikaliTuache chuki za kikabila na wivu usio na msingi, na we we omba ardhi kama unaitaka kwani ni dhambi?! Threads kama hizi za kipuuzi sijui kwani ni mods wanaziacha!
Hiyo ardhi wamepewa wapi!?; You are not informed au unaandika tu. Hujui kuwa bado serikali haijaamua hawa watu waishi wapi!?warundi zaidi ya laki moja waliopewa uraia na kikwete walipopewa ardhi ilikuwa sawa
Kwa taarifa yako nia haikuwa kupunguza msongamano kama ulivyoaminishwa. Lengo lilikuwa kuipunguza nguvu jamii ile, ambayo bila kudhibitiwa ingeleta usumbufu kiutawala.wewe kweli wa jana. kwa taarifa wachaga waliwahi kuhamishiwa handeni, mpanda, kilosa nk. wakati wa awamu ya kwanza ili kuondoa msongamano. Haijaleta ubaguzi wowote na wamechanganyikana na wenyeji wao. Watu wa sasa ndio wabaguzi. NENDA HUKO UKACHUNGUZE
We siyo mtoto ni mpumbavu, awali ulisema Rukwa sasa unasema Katavi: Nakuelimisha, wakati wachaga wanahamishiwa Moanda katika Kata ya Mwese hapakuwa na mkoa wa Rukwa wala Katavi, ulikuwa mkoa wa Tabora. Ungekuwa unataka kuelewa naweza hata kukusomesha wachaga waliohamishiwa huko walitoka kata ipi na kwasababu gani walilengwa wao
Thread hii ni muhimu, hoja iko bungeni, ngoja tusubiri majibu ya serikali
Miaka ya 70 mwalimu Nyerere alitaka Wachaga wahamie kwingineko ili wasiharibu Mlima Kilimanjaro Kwa kutafuta makazi. Hii ilipelekea wapewe ardhi Morogoro na kwingineko.
so lazima,kwani hifadhi ya msitu msitu Kilimanjaro ina kilometa ngapi za mraba,je sehemu ya maili moja wakipewa wananchi kutakuwa na shida,athari.labda alimaansha hiyo.Anataka New Vunjo in Manyara, Mbeya, Tabora
Huna hukijuacho, unaokoteza maneno na kujifanya mjuaji fake,
Ungetaka kuelimishwa ungeshaelimika lakini kwa kuwa unakumbatia ujinga wako basi endelea nao,
Wachagga waliopelekwa Morogoro, Tanga na Rukwa, ambayo kwasasa ni mkoa mpya wa katavi kuna eneo la mto unao aminika maji yake ukinywa yanasababisha kupatikana kwa mapacha, pengine ulikuwa ujazaliwa umesimuliwa tu! Tena ulikuwa unapotosha kuwa walipelekwa kwa nguvu! Hoja yako hii sijui imefia wapi?! Umechange gear angani unakuja na hoja ya mkoa!
Hoja ni kwamba walishawahi kuomba ardhi miaka ya 70's na walipewa na Rais wa wakati huo, na hakukuwa na shida! Kwanini Leo wakiomba iwe nongwa ?! Tujadili hoja!
Kabisa mkuu,
Watu wamejaa sumu ya ukabila, wamepofushwa macho na wivu na ukabila kiasi cha kushindwa kuona kuwa hao ni watanzania wenzao na wana haki ya kuomba kuishi popote na sio Mara ya kwanza kufanya hivi,
Wapo pia wasomali wa pale Tanga waliopewa uraia na ardhi, wapo warundi zaidi ya laki moja na nusu waliopewa uraia na ardhi, wanakuja wawekezaji wanapewa ardhi kubwa sana mamia ya hekari, lakini watanzania wenzao kuomba ardhi ni nongwa!
Kuna shida mahali.
Hiyo ardhi wamepewa wapi!?; You are not informed au unaandika tu. Hujui kuwa bado serikali haijaamua hawa watu waishi wapi!?
We ni mbishi na hisia za ukabila unazo wewe, hata humu ndani kuna video clip inamuonesha mbunge wa Ulyankulu akiisihi serikali itoe tamko kama waendelee kuishi walipo au waondolewe, umepitwa hata na ziara ya waziri wa home affairs Kange lugola akiwaeleza kuwa serikali bado inafikiria namna ya wao kuishi, wewe siyo mjinga , ila kwenye hili wewe ni mpumbavuWe jamaa mbishi hadi unakera alafu inaonekana huna unalolijua zaidi ya ubishi na ukabila, jamaa mbona kakufafanulia vizuri tu
Kwahiyo hao warundi wanaishi hewani? Acha ubishi wa kizamani dogo. Wale watutsi na wahutu wa Burundi waliopewa uraia na Jk walipewa pia mashamba ya kulima ili wasitegemee misaada ya chakula kutoka mashirika ya UN na serikalini, pia na maeneo ya kujenga makazi yao. Kwahiyo Walipewa ardhi hawalimi hewani wala hawajajenga angani. Acha ujinga wewe.
Ngoja niwasaidie, mkoa wa Rukwa wakati unaanzishwa uliundwa na Wilaya mbili ambazo ni Sumbawanga iliyokuwa mkoa wa Mbeya na Mpanda iliyokuwa mkoa wa Tabora na mkoa huo pamoja na Lindi na Dar es Salaam ilianzishwa mwaka 1974
We ni mbishi na hisia za ukabila unazo wewe, hata humu ndani kuna video clip inamuonesha mbunge wa Ulyankulu akiisihi serikali itoe tamko kama waendelee kuishi walipo au waondolewe, umepitwa hata na ziara ya waziri wa home affairs Kange lugola akiwaeleza kuwa serikali bado inafikiria namna ya wao kuishi, wewe siyo mjinga , ila kwenye hili wewe ni mpumbavu
Wewe ni mburula asiye na ufahamu mdogo tu, jamaa hapo juu kajitahidi sana kukuelimisha lakini inaonekana imejawa na wivu na chuki za kijinga za kikabila, sikia bro kumchukia aliyefanikiwa hakukufanyi umzidi wala umfikie.
Mafanikio ya wachagga kwenye elimu, biashara na maendeleo yanaonekana kuwaumiza wengi sana, hats kujikuta wamejawa na visasi na wivu wakishamba kama wewe.
Yaani unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo mjinga na ukabila kwakiwango cha lami, nakushauri hebu ficha ujinga wako hata kidogo. Ujinga ukizidi unageuka kuwa upumbavu, na mpumbavu haelevuki, hata bible inasema, "usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, usije ukafanana nae"