Wewe ni mburula asiye na ufahamu mdogo tu, jamaa hapo juu kajitahidi sana kukuelimisha lakini inaonekana imejawa na wivu na chuki za kijinga za kikabila, sikia bro kumchukia aliyefanikiwa hakukufanyi umzidi wala umfikie.
Mafanikio ya wachagga kwenye elimu, biashara na maendeleo yanaonekana kuwaumiza wengi sana, hats kujikuta wamejawa na visasi na wivu wakishamba kama wewe.
Yaani unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo mjinga na ukabila kwakiwango cha lami, nakushauri hebu ficha ujinga wako hata kidogo. Ujinga ukizidi unageuka kuwa upumbavu, na mpumbavu haelevuki, hata bible inasema, "usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, usije ukafanana nae"