Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

Tembea nchi nzima hii, hutokuta kabila ambalo limewatungia jina wageni(jina la kuwadharau) ila huku uchagani tunaitwa chasaka hahaha

Ngoja tuwape elimu, mutabadilika tu

Hii mbinu ya kuzaa na dada zenu itazaa matunda soon.
 
Eti JF niko muda mrefu, fyuuuuuuu jinga kweli wewe huna akili kabisa.
 
Tembea nchi nzima hii, hutokuta kabila ambalo limewatungia jina wageni(jina la kuwadharau) ila huku uchagani tunaitwa chasaka hahaha

Ngoja tuwape elimu, mutabadilika tu

Hii mbinu ya kuzaa na dada zenu itazaa matunda soon.
Of course utaendekeza ngono lakini utabaki hivyo hivyo unalala kwenye viota kama ndege. Fanyeni kazi na hakuna shortcut za maisha.
 
Of course utaendekeza ngono lakini utabaki hivyo hivyo unalala kwenye viota kama ndege. Fanyeni kazi na hakuna shortcut za maisha.
Morogoro, Iringa na Mwanza ni miji iliyojaa viota kisa si ya wachaga sio?

Tunawasubiri mbadilike, tutafurahi sana mkianza kuwatreat makabila mengine bila ubaguzi

Hushangai mchaga akienda tabora Mwanza iringa anapata kiwanja ila mmakonde, mhaya na mdigo hawawezi kupata kiwanja moshi.
 
Unataka ku-suggest kuna ubaguzi kwenye kupata viwanja Moshi? Huu ni uongo wa mchana kweupe. Ukweli ni kuwa wachaga wameamka siku nyingi (kwa sababu za kihistoria i.e. wazungu waliishi maeneo hayo) hivyo wakaendelea na wakasambaa maeneo mengine. Hayo makabila mengine hayakuwa na mwamko wa mapema. Hicho ndicho kinachofanya watu wavivu na wenye wivu kama wewe kuwaonea wivu.
 
Hahaha nilitegemea utetezi kama huu

Badilikeni mazee, au mkishindwa kubadilika oneni aibu basi

Ardhi haiuzwi kwa chasaka hapa moshi ila mchaga akienda Mwanza au Moro anakaribishwa kama ndugu na anauziwa ardhi aitakayo(kwa akili yako hii utasema mnauziwa ardhi huko kwasababu watu wa huko ni wajinga na wapumbafu)

Kubadilika haina maana ya kufeli, kubadilika ni ustaarabu pia.
 
Ni ubinafsi walio nao tunaowapa dhamana. Kwa hali yake, hata kabla ya kuwa mbunge, alitakiwa awe chachu na mfano kwa wana Vunjo, kuwa fursa iko popote ndani ya nchi na duniani, lakini yeye na usomi wake, maisha mjini na duniani huko, kastaafu sasa ndio anakwenda kuomba kura ambazo wana Vunjo wala hawakuwa na la kusema maana mwenye chama alishataka huyo awe mbunge. Sasa anabweteka na ukifikiri kama mtu asiye na upeo wowote wa kutatua matatizo.
 
Msilete mambo ya 1970 kuhalalisha mambo ya ajabu ajabu.

That was a very primitive move.eti unahamisha kabila !!!! We are done with that.

MTU anaedai Kilimanjaro wana uhaba wa ardhi ni Mjinga sana ambaye hajitambui.

Tanzania ni nchi moja kuna free movement unaweza kuishi mkoa wowote ,kijijj chochote kama wanaona kuna changamoto huko wahamie kagera, rukwa iringa ,mbeya,tabora morogoro hakuna anae wakataza ni haki yao kama watanzania..


Ila hii ya kuomba eneo kikabila yani mkajazane wenyewe tu sehemu Fulani inaleta ukakasi.
 
Mnaposema Kilimanjaro ardhi Hakuna,Mimi huwa siwaelewi.Mbona ninapokuwa nikisafiri kuelekea Moshi mjini na Arusha,Huwa Naona Ardhi kubwa tu ya tambarare ikiwa hainaga watu(IPO wazi) kuanzia huko same mpaka Moshi mjini na pia kutoka Moshi mjini kwenda Arusha Naonaga Hamna watu(kupo tupu).Kwa Mimi hao akina BWASHEE WASIHAMIE HUKO KWENYE HAYO MAENEO ? Ilhali Naona mahindi,maharage mbaazi zinasitawi vizuri tuu ?Au Ni lazima wakae Karibu kabisa na mlima KLMnjaro ?
 
We don't do that primitive shit anymore.
Eti uhamishe jamii. Tuna jamii moja tu ya MUHIMU sasa inaitwa Tanzania.
Wanazaliana hovyo hafu unataka maeneo mengine ya bure.

Acheni kuzaliana hovyo hovyo.
 
Mkuu Achana nae huyo kopo tupu tabularasa!

Hana alijualo, zaidi ya tribalism, anaongozwa na mihemko tupu, (emotions and not logics), hana hoja hata hoja! Anataka league za kijinga!

Dawa ya mpuuzi ni kumpuuza tu mkuu!
Kuna watu wakabila zaidi ya wachaga kwenye hii nchi.

Wakishika ofisi yoyote wanajaa wao.
 

Kwa hiyo tu vunje tabora kuwe na vunjo ya tabora.lazima kujenga kwenu
 
Mkuu kumbe Makabila yaliyobaki ni inferior kwa Wachaga!! Na wanaonewa wivu!
 
Nyie Wachagga acheni uhuni, hakuna ardhi ya huruma ya Serikali!!!


Nendeni mkatafute ardhi wenyewe, Tanzania ni yenu siyo kusubiri huruma ya Serikali!! Tatizo lenu mnataka mkae kimatabaka hamtaki kuchangamana
Umehit the point Mkuu. Wanataka kukaa kimatabaka.

Tanzania unaweza kupata ardhi popote as long as sio eneo LA hifadhi,LA jeshi au LA matumizi maalum ya kiserikali.

Wao wanatka ardhi ya bure bure, nchi nzima tukiomba ardhi ya bure bure itakuwaje they have to grow up.

This is not 1970 ambapo tulikuwa almost half the current population nchi ilikuwa wazi sana Na kulikuwa bado Na uprimitive Fulani hivi.
 
Wewe kiaz inayotaka eneo ni jamii sio familia ya mtu , watu wanataka eneo labda hekari za mraba elfu 22, nusu ya mkoa wa singida , ununue ?
Tuna jamii ya watanzania huo uchaga wenu ushapitwa Na wakati.

Kwanini mtake jamii yenu ikae yenyewe MNA mpango gani?

Kila eneo katika hii nchi Lina urithi wa jamii Fulani. Ila sheria inaruhusu kununja ardhi popote pale wafanye hivo. Hakuna eneo ambalo halina urithi was l jamii Fulani unless una suggest jamii Fulani iporwe wapewe wachaga.


Hata hifadhi zilizopo zilikuwa himaya za jamii Fulani.
 
Mafanikio yao binafsi yanahusu nini mada hii hapa?

Una argue like a nursery kid.

U want a piece of land in this country, you find one and buy .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…