nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Tembea nchi nzima hii, hutokuta kabila ambalo limewatungia jina wageni(jina la kuwadharau) ila huku uchagani tunaitwa chasaka hahahaMnaendekeza ngono kupita kiasi ndiyo maana bado mnaishi porini. Japokuwamimi siyo mchaga lakini lazima nikiri nimeoa uchagani na ni kabila lenye watu wenye maarifa. Una ulivyo mjinga. Unadhani kufanya ngono na malaya wa kichaga ni kuwakomoa wachaga. Utaishia kuishi kwenye viota kama ndege ndugu yangu.
Ngoja tuwape elimu, mutabadilika tu
Hii mbinu ya kuzaa na dada zenu itazaa matunda soon.