Ahahaaa! Nimecheka kwa dharau sana, hivi we kilaza utanizidi nini aisee, we mtoto wa juzi hapa 23 October 2019 bado kabisa unanuka maziwa mdomoni?!
Hata kama unatumia new ID, Mimi Niko humu tangu mwaka 2006 as anonymous, nikajiunga 2012. Bado sana hujanikuta, utasubiri sana dogo!
Watu tulianza kutumia social media tangu enzi za Dar Hot Wire, tukaamia Jambo Forums, marafiki.com, Hi5, BBM, miaka ya 2002. vipi enzi hizo ulikuwepo wewe kindergartner?!
Madogo wasiku hizi mnadharau sana kaka zenu, kujua kutumia smartphone imekuwa nongwa sana! Usije nifanya nikapigwa ban bureee, Mara ya mwisho kupigwa ban na moderator ilikuwa mwaka 2016, hivyo tuliza mshono dogo unapo deal na kaka zako!