Bwana Mrefu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 408
- 996
[emoji23][emoji23] "mavi ya fungo"Mimi nilikuwa nimeenda kujitambulisha ukweni(nyumbani kwao demu wangu)
Sasa kama ujuavyo familia za kishua tunavua viatu mlangoni tunaingia na kukaa sitting room ghafla kuna katoto ka miaka kama 7 hivi kakarudi kutoka shule kalipofika mlangoni kakachukua soksi zangu kakazibana na kijiti kakaingia nazo sebureni kanauliza kwa sauti "eti mama hizi soksi za nani chafu zimechanika halafu zinanuka vibaya kama mavi ya fungo"
Sebure nzima walicheka kwa sauti yaani niliaibika sana siku hiyo
" Anko utakula kwetu"' Nikawa najifanya sijasikia, nakapotezea lkn bado kanauliza kwa ku-shout!Mimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha kwako hapa,
Kuna mambo watu wazima mkiongea watoto hawatakiwi wasikilize la sivyo unakuja kupata aibu kwa majirani.Katoto kadogo darasa la awali namfundisha tuition hapa (do not comment [emoji1787]) jana tu alinisimulia jinsi bibi yake alivyochimba au tuseme alivyouza mchanga eneo la hifadhi akakamata.
Mtoto anamtaja hadi mtu aliyemfitini bibi yake.
Alimtaja hadi aliyemtolea bibi yake hela ya dhamana.
Akaniambia siku ya kesi ni tarehe 8, nimeona mtoto mdogo mwenye uwezo mkubwa wa uelewa.
Bro ulioa huko kweli?Mimi nilikuwa nimeenda kujitambulisha ukweni(nyumbani kwao demu wangu)
Sasa kama ujuavyo familia za kishua tunavua viatu mlangoni tunaingia na kukaa sitting room ghafla kuna katoto ka miaka kama 7 hivi kakarudi kutoka shule kalipofika mlangoni kakachukua soksi zangu kakazibana na kijiti kakaingia nazo sebureni kanauliza kwa sauti "eti mama hizi soksi za nani chafu zimechanika halafu zinanuka vibaya kama mavi ya fungo"
Sebure nzima walicheka kwa sauti yaani niliaibika sana siku hiyo
Upo kama mie, wanajua kabisa Mama hataki masikhara, ila baba yao wanavyomchezea sharubu sasaa, basi nawaangalia nasema ujinga uishie huko sio kwangu.Vituko vya kina junya,, nisivyopenda ujinga wanangu wananyooshwa sawasawa kuna siku walikuwa wanaambizana eti mama ni mkali sana kuliko baba, hataki upuuzi
Mungu wangu!! Yaani Mtoto analilia Simu anapewa hehehehe ningekafurusha kasingerudi tena, wangu anapenda Simu Baba ake imebidi amnunulie ila anajua fika Simu yangu ni kituo cha polisi iite hapo ataniita na sio kuibeba kuniletea.... Naona kuna sehemu mnafika vitoto vinaomba Simu vicheze Game, Ma Anti wazuri wanawapa Simu zao, Mimi hapana acha nionekane bandidu tu.Niliendaga kwa anko
Mwanae wa miaka minne,nimekaazangu nachart si aKaanza kulia,mama yake akamuuliza unataka nini??,,,,,,,,,kakasema kanataka simu yangu kaangalie vichekesho,
Mama yake akaniambia warda mpe mtoto simu achezee maana amezoea kuchezea simu yangu sasa ni mbovu
Nikamwambia sinaga hayo mambo kwenye simu yangu na ata kama zingekuwepo nisingempa katu,atafute cha kuchezea,,,auntie alinuna,,Mtoto wanamlelea kwapani.
Yani maza nimenyooka sawasawa sipendi upuuzi kabisa siongei mara mbili mbili,, na hawachezei vitu vyangu hata niiache simu masaa nitaikuta salama,,Upo kama mie, wanajua kabisa Mama hataki masikhara, ila baba yao wanavyomchezea sharubu sasaa, basi nawaangalia nasema ujinga uishie huko sio kwangu.
Mimi nilijua kuwa ni DENNIS THE MENACE kumbe sasa kuna JUNIOR THE MENACEPitia uone vituko vya kinajunia[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliendaga kwa anko
Mwanae wa miaka minne,nimekaazangu nachart si aKaanza kulia,mama yake akamuuliza unataka nini??,,,,,,,,,kakasema kanataka simu yangu kaangalie vichekesho,
Mama yake akaniambia warda mpe mtoto simu achezee maana amezoea kuchezea simu yangu sasa ni mbovu
Nikamwambia sinaga hayo mambo kwenye simu yangu na ata kama zingekuwepo nisingempa katu,atafute cha kuchezea,,,auntie alinuna,,Mtoto wanamlelea kwapani.
πππ anataka vichekesho aliviwekaNiliendaga kwa anko
Mwanae wa miaka minne,nimekaazangu nachart si aKaanza kulia,mama yake akamuuliza unataka nini??,,,,,,,,,kakasema kanataka simu yangu kaangalie vichekesho,
Mama yake akaniambia warda mpe mtoto simu achezee maana amezoea kuchezea simu yangu sasa ni mbovu
Nikamwambia sinaga hayo mambo kwenye simu yangu na ata kama zingekuwepo nisingempa katu,atafute cha kuchezea,,,auntie alinuna,,Mtoto wanamlelea kwapani.
Huyu hapa ndiyo mkuu wao hakina JUNIOR wote anapatikana kwenye katuni ya DENNIS THE MENACEHakuna mwenye picha ya akina juniour jinsi wamebinua midomo wanavyousoma huu uzi?
Siku hizi uncle unaongea sanaKwa aunt analmtoto 5years wa kiume,yaani anawasha gesi inshot ana mambo ya hatari sana,muharibifu,binti wa kazi anakoma,
Nilikuwa zangu jikoni nimepika nikatoka,nikasimama dinning natizama nje,
Yule mtoto sijui alipita muda gani kuelekea jikoni,nashtuka nimebandikwa na kisu cha moto mkononi aisee nilitamani ardhi ipasuke,,,,,alidundwa na mama yake na Mungu akamlaani siku ya pili alikuwa anachezea moto wa mkaa akaukanyaga kwa miguu yote miwili,aliungua vibaya sana,
Siku naondoka kananiambia usiondoke mie nitabaki na nani,aunt nikikumisi utakuja kuniona huku kanalia,
Sijaendaga tena,wanaishia tu kuniambia utakuja lini,
Maana aunt analalamika adumu na wasichana wa kazi,,nikagundua shida ni tabia za mwanae maana mwenyewe yupo poa tu
nahisi inasababishwa pia na malezi ya mama pekee
[emoji1][emoji1]Nimevua viatu vyangu natoka havionekani kuzunguka nyuma wamejaza michanga na mawe wanaendesha gali.
Nikajisemea moyoni nitawafuraisha Hawa.
Miwa+ sambusa [emoji1787][emoji1787] shenzi..Malezi ya kulea watoto kwapani siwafichi ndugu zangu ndio yanayosababisha kuwe na ongezeko kubwa sana la mashoga siku hizi,hizi tabia za kufumbia macho kila wanachofanya kina Junia ipo siku huko mbeleni tutakuja kujuta..Hii nimewachana jana tu kwenye basi wakati natoka Dodoma kwenda Dar kuna vitoto viwili vilikuwa na wazazi wao basi walikuwa hawatulii kelele wao,mara wapande juu ya siti gari ikiwa mwendo kasi,mara wavute nywele wakubwa halafu wazazi wao wanawaangalia tu nilikaa siti tatu kwa nyuma kutoka kwao si ndio mmoja akajitela bwana kujifanya kuja kwangu ananiuliza maswali kuhusu screen zile zilizopo kwenye siti za Shabiby nikawa namjibu fresh tu huku nikichukua tahadhari maana niligundua ni mtundu,eh!!! si akabonyeza ghafla kitufe kimojawapo cha cha screen nikamsukumia ghafla kuelekea uelekeo wa wazazi wao na mineno juu watu wakaniunga mkono "hawa watoto watundu kweli" hapo ndipo nikaanza kupiga madongo kuhusu malezi ya watoto wazazi wao wakisikia..Sema niligundua hata mzazi wake wa kike pia hana malezi mazuri maana mtu mwenye malezi mazuri hawezi kula hovyohovyo alikuwa na rundo la mivyakula mara miwa,zabibu,mayai,tambi,biscuti,juice,sambusa na vyote alikuwa anakula kwa wakati mmoja
Mimi ningeaga na kuondoka, wangejua pa kunitafutaMimi nilikuwa nimeenda kujitambulisha ukweni(nyumbani kwao demu wangu)
Sasa kama ujuavyo familia za kishua tunavua viatu mlangoni tunaingia na kukaa sitting room ghafla kuna katoto ka miaka kama 7 hivi kakarudi kutoka shule kalipofika mlangoni kakachukua soksi zangu kakazibana na kijiti kakaingia nazo sebureni kanauliza kwa sauti "eti mama hizi soksi za nani chafu zimechanika halafu zinanuka vibaya kama mavi ya fungo"
Sebure nzima walicheka kwa sauti yaani niliaibika sana siku hiyo
Ilinibidi nicheke tuMimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha kwako hapa,