Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

Nina house girl wangu mpya kaja na mwanae anaitwa junior na jinsi anavyo mlea huyo mtoto ipo siku ataninunia week nzima, we uliona wapi mtoto wa kwanza ukamuita junior[emoji23][emoji23][emoji23]
 
😀😀😀😀😀😀😀😀
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukute mtoto karithi tabia ya baba,
Katoto hakana adabu hata kidogo,
Kananivuta nitoke nje,kakeenda mlangoni kachukua viatu vyangu kaka vitupa kwenye vumbi, babake asemi kitu kimya anaangalia tv,mama mtu "mzoee tu si unajua tena ndo watoto"
Hapo nimevimba ndani kwa ndani hasira, ni jasho linanitoka tu.

Tunatoka mwanamke akatusindikiza,nikamwaga jamaa "mzee sisi ndio tunakwenda" kauchubua hajajibu.

Eti anatuomba radhi mumewe ana wivu sana, hataki afanye kazi.

Ni moja kati ya familia mbovu yenye tabia za ajabu niliona katika maisha yangu
 
Mh
 
Ulikuwa na miaka mingapi na hao waliokusingizia wakati huo walikuwa na miaka mingapi
 
Ha ha haa, 🤣 mtoto umleavyo
 
Mimi nishalaumiwa na dada yangu pia kuwa sipendi watoto. Kimsingi siwezi kuvumilia upuuzi. Kumpenda sio mpaka mtoto umuache afanye ujinga mwingi.
 
Nina house girl wangu mpya kaja na mwanae anaitwa junior na jinsi anavyo mlea huyo mtoto ipo siku ataninunia week nzima, we uliona wapi mtoto wa kwanza ukamuita junior[emoji23][emoji23][emoji23]
Wasichojua wanawatengezea roho ya udogo, mwishoni yanakua mazwazwa kisa alipewa udogo japo ni mtoto wakwanza
 
Mkuu ulikuwa na umri gani wakati huo shemeji yako nakupiga Kofi?.

Kama hutojali je wewe ni ME au KE?
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Wanawaangalia na Watu wenyewe wa kuwafanyia ujinga, mimi Mtoto awe wangu awe wa jirani awe wa ndugu wanajua fika sipendi ujinga, sipigi Mtoto ila nina Mikwara [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo ulitisha mnoooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…