mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Pitia uone vituko vya kinajunia[emoji23][emoji23]Yes babe nimekuja. Ngoja nipitie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pitia uone vituko vya kinajunia[emoji23][emoji23]Yes babe nimekuja. Ngoja nipitie
Ni shida vitoto vya kipindi hiki na nina mkono wa kupiga kitoto kikisumbua nakibonda.Pitia uone vituko vya kinajunia[emoji23][emoji23]
Duh! Familia ya hovyo sana hiyo.Niliitwq sehem kwenye kazi,
Boss alikua ni mwanamke,
Ana kiji ofisi chake nyumbani kwake,
Kama nilijua sikwenda peke yangu,nilienda na moja ya msaidizi wangu wa kike.
Picha limeanza nakaribishwa na mkuta baba mwenye nyumba haitiki salam yangu,
Dakika kadhaa kanakuja katoto,akasalimi wala nini, "toka kwetu"
Hiyo ndio ilikua kazi ya mwisho kufanya na huyo mama.
Ukute mtoto karithi tabia ya baba,Niliitwq sehem kwenye kazi,
Boss alikua ni mwanamke,
Ana kiji ofisi chake nyumbani kwake,
Kama nilijua sikwenda peke yangu,nilienda na moja ya msaidizi wangu wa kike.
Picha limeanza nakaribishwa na mkuta baba mwenye nyumba haitiki salam yangu,
Dakika kadhaa kanakuja katoto,akasalimi wala nini, "toka kwetu"
Hiyo ndio ilikua kazi ya mwisho kufanya na huyo mama.
Mie kwanza nikikunja sura,nikikaza jicho[emoji23]vinaenda kulilia kwa mama zaoNi shida vitoto vya kipindi hiki na nina mkono wa kupiga kitoto kikisumbua nakibonda.
Mbona atajipikia tu[emoji23]. Ajakutana na mandidu,Siku ondokeni wote mapema mumuachie nyumba na vyakula vibich msimpe Hela mtakuta kapika pilau njaa sio mchezo
Kuna katoto ka dada yangu nako kanapenda sana simu, kuna siku kamenisogelea kanaomba simu hapo kanakula mikono michafu nikajidai sijaskia kakamfata mama yake et niombee simu kwa aunt mama yake kweli kaja eti mtoto anaomba simu nikaona isiwe kesi nikawapa. Simu imerudi ina shombo la samaki nilikasirika toka siku ile hagusi kabisa vitu vyangu.Niliendaga kwa anko
Mwanae wa miaka minne,nimekaazangu nachart si aKaanza kulia,mama yake akamuuliza unataka nini??,,,,,,,,,kakasema kanataka simu yangu kaangalie vichekesho,
Mama yake akaniambia warda mpe mtoto simu achezee maana amezoea kuchezea simu yangu sasa ni mbovu
Nikamwambia sinaga hayo mambo kwenye simu yangu na ata kama zingekuwepo nisingempa katu,atafute cha kuchezea,,,auntie alinuna,,Mtoto wanamlelea kwapani.
😂😂 mimi huwa navibonda nachukia vitoto visumbufu.Mie kwanza nikikunja sura,nikikaza jicho[emoji23]vinaenda kulilia kwa mama zao
Tena hawataamin 😂😂Mbona atajipikia tu[emoji23]. Ajakutana na mandidu,
Na vinakimbiliaga kwa mama zao sijui kwanini[emoji23]Kuna katoto ka dada yang nako kanapenda sana simu, kuna siku kamenisogelea kanaomba simu hapo kanakula mikono michafu nikajidai sijaskia kakamfata mama yake et niombee simu kwa aunt mama yake kweli kaja eti mtoto anaomba simu nikaona isiwe kesi nikawapa. Simu imerudi ina shombo la samaki nilikasirika toka siku ile hakugusi kabisa vitu vyangu.
Hio kitu ni kweli aiseee ?Mtoto mkubwa wa sister ni mkubwa tuu 18 years now kamaliza form 4. kaja home. kufika kakuta wamepika makange akasema yeye hali makange. nkampa hela akaenda nunua chips. asubuh chai tukanunua mihogo kasema halagi mihogo anataka chapati za maji, akapewa. inshu ikaja kwenye kusaidia kazi. hakuna kazi anayoweza labda vyombo tuu kuosha na sio masufuria. kitu pekee anaweza pika ni chai. hata ugali wa mtu mmoja hawezi pika. nkamuuliza vizuri akasema yeye hata kwao wakipika ugali yeye hataki basi anapewa hela anaenda kula mgahawani.
nguo zake anafuliwa. na sio kwamba kwao ni matajiri hapana kipato chao ni cha chini sana.
Sawa warda [emoji16]Niliendaga kwa anko
Mwanae wa miaka minne,nimekaazangu nachart si aKaanza kulia,mama yake akamuuliza unataka nini??,,,,,,,,,kakasema kanataka simu yangu kaangalie vichekesho,
Mama yake akaniambia warda mpe mtoto simu achezee maana amezoea kuchezea simu yangu sasa ni mbovu
Nikamwambia sinaga hayo mambo kwenye simu yangu na ata kama zingekuwepo nisingempa katu,atafute cha kuchezea,,,auntie alinuna,,Mtoto wanamlelea kwapani.
[emoji16]Sawa warda [emoji16]
Ana miaka mingapi?Katoto kadogo darasa la awali namfundisha tuition hapa (do not comment 🤣) jana tu alinisimulia jinsi bibi yake alivyochimba au tuseme alivyouza mchanga eneo la hifadhi akakamata.
Mtoto anamtaja hadi mtu aliyemfitini bibi yake.
Alimtaja hadi aliyemtolea bibi yake hela ya dhamana.
Akaniambia siku ya kesi ni tarehe 8, nimeona mtoto mdogo mwenye uwezo mkubwa wa uelewa.