Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na we ulienda kutafyta Nini uliyataka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa ex wangu mmoja alikuaga single mother.
Naingia ndani dogo hataki niingie anasema toka we sio baba yangu.
Nilipokaaa dogo anaimba usikalie viti vya baba yangu .
Msosi ulipoletwa dogo anangania hatuli nawewe we sio baba yangu .
Hapo vituko kibao mara misonyo mara anitishie na hiki mara kile
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ukajibu nini 😂"leo huli kwetu?"
Kusikia watoto wa wenyeji wangu wanazizungumzia vibaya na kuzichukulia poa zawadi nilizowaletea kutoka mkoani daah! Hii ilinipa sana hamasa ya kupiga kitabu hatimaye kuweza kujitegemea. Pamoja wakuuMimi nakumbuka siku moja nikiwa ugenini, huyu mtoto wa mwenyeji wangu aliing'ang'ania radio yangu na mwenyeji wangu akaniambia tumsubirie asinzie watamnyang'anya nakumbuka walinipatia radio yangu saa nne usiku toka saa 12 jioni
Niliwamindi familia yote ila basi tu hawakujua
Weka na wewe cha kwako hapa,
[emoji23][emoji23][emoji108]mmeumbiwa matesoKwa ex wangu mmoja alikuaga single mother.
Naingia ndani dogo hataki niingie anasema toka we sio baba yangu.
Nilipokaaa dogo anaimba usikalie viti vya baba yangu .
Msosi ulipoletwa dogo anangania hatuli nawewe we sio baba yangu .
Hapo vituko kibao mara misonyo mara anitishie na hiki mara kile
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hata sikumjibu🤣🤣🤣Ukajibu nini 😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwaje dear
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikukomesha haswaaa.Kwa ex wangu mmoja alikuaga single mother.
Naingia ndani dogo hataki niingie anasema toka we sio baba yangu.
Nilipokaaa dogo anaimba usikalie viti vya baba yangu .
Msosi ulipoletwa dogo anangania hatuli nawewe we sio baba yangu .
Hapo vituko kibao mara misonyo mara anitishie na hiki mara kile
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Alikuja kujua ukweli? Kama alijua ukweli alikuomba radhi au ndio kachukulia poaAlichukua maamuzi ya haraka tu
Nadhani ulitaka kusema makande....Mtoto mkubwa wa sister ni mkubwa tuu 18 years now kamaliza form 4. kaja home. kufika kakuta wamepika makange akasema yeye hali makange. nkampa hela akaenda nunua chips. asubuh chai tukanunua mihogo kasema halagi mihogo anataka chapati za maji, akapewa. inshu ikaja kwenye kusaidia kazi. hakuna kazi anayoweza labda vyombo tuu kuosha na sio masufuria. kitu pekee anaweza pika ni chai. hata ugali wa mtu mmoja hawezi pika. nkamuuliza vizuri akasema yeye hata kwao wakipika ugali yeye hataki basi anapewa hela anaenda kula mgahawani.
nguo zake anafuliwa. na sio kwamba kwao ni matajiri hapana kipato chao ni cha chini sana.
Mkuu i can't imagine kilichowapata hao watoto😂😂😂Nimevua viatu vyangu natoka havionekani kuzunguka nyuma wamejaza michanga na mawe wanaendesha gali.
Nikajisemea moyoni nitawafuraisha Hawa.
Walikuja kwangu wakanyooka barabaraMkuu i can't imagine kilichowapata hao watoto😂😂😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ***** naua mtu."Mavi hayajaenda hayo" alisikika mtoto akimwambia mgeni baada ya kutoka kuflash na kutoka chooni.
Nilikata tu mazoea nae so sikufanikiwa kujua kama alijua au lahAlikuja kujua ukweli? Kama alijua ukweli alikuomba radhi au ndio kachukulia poa
Ongezea na radio cassete na simu ya kukoroga iendane na akili yako maana ndio raha yako, washamba mnazingua sanaWewe ni mpumbavu. Pengine hata huelewi radio ni nini. Watu wanamiliki magari ya kifahari na ndani yana radio. Nyumbani kuna Home theater, Subwoofer na hizo zote ni aina ya radio za kisasa.
Acha dhihaka hata kwa anayemiliki radio ndio raha yake.
Unaonekana una hasira za maamuzi mkuu. Natamani kujua kwanini unajiita Tafuta HelaAliniuliza kabati la kuwekea nguo kwa kingereza linaitwaje kipindi nipo form nyoya wakuu
Nimetoka zangu senti kayumba najua kingereza cha good morning na can you help me some drinking water tosha katoto kalikuwa English medium
Kabla sijajibu kakataja halafu kakasema sijui nikaaibika sana siku ile
Nilikuja kununua dictionary nikajifunza maneno mengi sana mpaka naweza kukaa na mzungu tukapiga ngeli hata siku nzima