Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

Hata hao watoto huwa wanaangalia sura za kuchezea.
Mi ukileta ujinga nakuzabua mbele ya wanaokulea.
Na ndio maana watoto hawanipendi.

Mwanangu hata akute simu yangu iko wapi hagusi hadi aombe na anapewa kwa dakika tu. Kama game anaambiwa ukikosa tu rudisha simu.

Hata nisipokuwepo akisikia nimepiga simu tu lazima akafanye homework
 
Wamama ndio huharibu watoto kwa kuwadekeza.
Mi nikiwa na mtoto hata iwe umbali kiasi gani atatembea na hatasema kachoka.
Wamama sasa oooh nimechoka
 
Dogo aling'ang'ania miwani Hadi akaivunja hakurizika akatoka nje viatu nilivulia mlangoni akavichukua akavikojolea dada wa kazi akampiga mama mtu akaja juu eti kwanini usingemwambia kwaustarabu maana mtoto hajui chochote niliaga hapo hapo na sijawahi Tena kukanyaga Ile familia
Huyo mtoto ni wa miezi 10?
 
Yani hao wa hivyo ndio akipata kikazi tu umeisha[emoji23][emoji23][emoji23] utakutana na zile za "Nmechoka natoka kazini unataka kila kitu ufanyiwe"

[emoji23][emoji23]
Yaani
Au kila siku unashindia Takeaways tu
Honey, sweetie kwa wingi
Mbona atakoma jamaa maana mshahara wake anaweka dume ndio liliete mlo
 
Wamama ndio huharibu watoto kwa kuwadekeza.
Mi nikiwa na mtoto hata iwe umbali kiasi gani atatembea na hatasema kachoka.
Wamama sasa oooh nimechoka

Watoto wengi hawaogopi mama zao kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengine tukifika ugenini tunaogopwa mpaka na wazazi, tupo very strictly, Ukali upo usoni kabisa. Tunajitahidi kutabasamu kuuficha lakini watoto wanasaikolojia ya kumtazama macho na kumuelewa mtu ni wanamna gani
Motivational speakers mmeshaanza.
 
Back
Top Bottom