HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hata hao watoto huwa wanaangalia sura za kuchezea.
Mi ukileta ujinga nakuzabua mbele ya wanaokulea.
Na ndio maana watoto hawanipendi.
Mwanangu hata akute simu yangu iko wapi hagusi hadi aombe na anapewa kwa dakika tu. Kama game anaambiwa ukikosa tu rudisha simu.
Hata nisipokuwepo akisikia nimepiga simu tu lazima akafanye homework