CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Yaonekana umechukua kandarasi ya kuichafua Simba kila linalofanyika wewe unaponda tu, kama kweli wewe ni mnyama huoni unawapa kete nyuma mwiko kuzidi kuikandia Simba humu, maana wote wanaokusapoti ni vyura.Huyo amekuwa kocha kwa miaka saba anadundwa tu. Kakosa timu anaajiliwa kuwa asistance. Mi Simba dam dam msimu ukianza tutaelewana
Sasa ndo ungekua buzzy na team yako, team isiyokuhusu achana nayoo.Sio kuuma hapa tunajadiri mambo kwa upana wake jamani.
Lazima tuangalie je maamuzi haya yana tija kwa maslahi mapana ya mpira wetu sio tuu simba yanga au azam.
Hayo mamillion ni yako? Unatoa wewee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Timu gani wewe...sie tunazungumzia boli na pia maslahi mapana ya nchi. Tunalipa mallion watu wenye qualifications za kawaida jamani
Sasa mambo ya mikundu inakujaje hapa tena🤣🤣🤣🤣Duh huo mkundu uko sawa ...mwanaume kusema "aiii" duuuh..
Nikuambie ukweli tu. Simba walikuwa na wachezaji bora sana kwa tanzania na Africa hii. Sema hawakuwa vizuri nje ya uwanja yani uongozi, Media, uamuzi na kila kitu.Yaonekana umechukua kandarasi ya kuichafua Simba kila linalofanyika wewe unaponda tu, kama kweli wewe ni mnyama huoni unawapa kete nyuma mwiko kuzidi kuikandia Simba humu, maana wote wanaokusapoti ni vyura.
Kama kweli wewe ni mwana Simba unaona haya unayoandika humu yanaisaidia Simba au yanaibaza Simba mbele ya wapinzani wake?. Kama nia ni kutaka marekebisho hapa siyo mahali sahihi pa kuleta mapendekezo yako, unachofanya ni kuwapa washabiki wa Yanga kete za kuzidi kuibagaza Simba humu na si vinginevyoNikuambi
Nikuambie ukweli tu. Simba walikuwa na wachezaji bora sana kwa tanzania na Africa hii. Sema hawakuwa vizuri nje ya uwanja yani uongozi, Media, uamuzi na kila kitu.
ila sasa ata yanga hawataiongelea Simba tena. Sababu haina chochote.
Huwezi uza kila mchezaja ukaleta WATOTO alafu utegemee jipya
Mnachukua na nani wewe fala? Mbona husemi ya yanga yako kugeuka dampo la Simba?Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.
Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola.
kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa.
Eti alikuwa msaidizi Mamelod lini hiyo. Sasa
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.
3. Timu yake haijafika ata kucheza play of ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.
Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
View attachment 3034301
Msimu uliopita aliishusha pia timu hiyo daraja. Akiwa kocha.
Hana timu kwa sasa. Tim
Ni kocha mbovu zaidi kuliko wote South AAfrica
Timu yake inaitwa Maritzburg United
View attachment 3034289
View attachment 3034285
Huyo ni mtopolo na hana hoja zaidi ya kuleta kejeli hivyo ni haki ajibiwe kijinga tuUngemjibu kwa hoja na sio kwa kupanic na matusi, hadi hapo wewe ndio unaonekana mjinga
Utaewaje nawe huna akiliSijaelewa View attachment 3034367
Simba hakuwa mapooza kama wewe, nyie endeleeni tu kusajili rejects za SimbaSimba ni timu yangu najaribu kuweka sawa vitu nahisi wachambuzi washanunuliwa
Hakuna Simba bozi kama wewe tunakujua wewe ni nyumamwikoHuyo amekuwa kocha kwa miaka saba anadundwa tu. Kakosa timu anaajiliwa kuwa asistance. Mi Simba dam dam msimu ukianza tutaelewana
Pitia uzi zangu za nyuma sijawahi kuwa yanga ata siku moja. Kukosoa inahitaji taaluma kwa mkosoaji na mkosolewajiHuyo ni mtopolo na hana hoja zaidi ya kuleta kejeli hivyo ni haki ajibiwe kijinga tu
Nilijua washabiki wa yanga tu ndio hawajielewi. Kumbe timu ikianza kuwa mbovu na washabiki akili zinalala. Unatetea utumbo utumbo tu.Hakuna Simba bozi kama wewe tunakujua wewe ni nyumamwiko
Duuuh yakweli hayaUtaewaje nawe huna akili
Kwani wewe una tofauti gani na Mchome mapovu? Nyie ni watopolo mnaitumia Simba kujipatia umaarufu.Pitia uzi zangu za nyuma sijawahi kuwa yanga ata siku moja. Kukosoa inahitaji taaluma kwa mkosoaji na mkosolewaji