Kituko kingine Simba et Fadlu David kutoka ligi daraja la chini Afrika ndie kocha mpya. Angalia Cv Mbovu kabisa. Mgunda ni bora mno kwake

Kituko kingine Simba et Fadlu David kutoka ligi daraja la chini Afrika ndie kocha mpya. Angalia Cv Mbovu kabisa. Mgunda ni bora mno kwake

Huyo amekuwa kocha kwa miaka saba anadundwa tu. Kakosa timu anaajiliwa kuwa asistance. Mi Simba dam dam msimu ukianza tutaelewana
Yaonekana umechukua kandarasi ya kuichafua Simba kila linalofanyika wewe unaponda tu, kama kweli wewe ni mnyama huoni unawapa kete nyuma mwiko kuzidi kuikandia Simba humu, maana wote wanaokusapoti ni vyura.
 
Sio kuuma hapa tunajadiri mambo kwa upana wake jamani.
Lazima tuangalie je maamuzi haya yana tija kwa maslahi mapana ya mpira wetu sio tuu simba yanga au azam.
Sasa ndo ungekua buzzy na team yako, team isiyokuhusu achana nayoo.

Km unataka mpira wenu ukue, toa fungu lako watu wasajilie.
 
Nikuambi
Yaonekana umechukua kandarasi ya kuichafua Simba kila linalofanyika wewe unaponda tu, kama kweli wewe ni mnyama huoni unawapa kete nyuma mwiko kuzidi kuikandia Simba humu, maana wote wanaokusapoti ni vyura.
Nikuambie ukweli tu. Simba walikuwa na wachezaji bora sana kwa tanzania na Africa hii. Sema hawakuwa vizuri nje ya uwanja yani uongozi, Media, uamuzi na kila kitu.

ila sasa ata yanga hawataiongelea Simba tena. Sababu haina chochote.

Huwezi uza kila mchezaja ukaleta WATOTO alafu utegemee jipya
 
Kama kweli wewe ni mwana Simba unaona haya unayoandika humu yanaisaidia Simba au yanaibaza Simba mbele ya wapinzani wake?. Kama nia ni kutaka marekebisho hapa siyo mahali sahihi pa kuleta mapendekezo yako, unachofanya ni kuwapa washabiki wa Yanga kete za kuzidi kuibagaza Simba humu na si vinginevyo
 
Eti tunachukua kocha kutoka Maritzburg United. Kwanza kaishusha daraja timu hiyo msimu uliopita na Msimu kagongwa vibaya ligi ya chini.

Nimefatilia Cv zake ni vichekesho mtupu.
Ndio yale ya Timu kupewa Cadena na Matola.
kama Mo hana ela zzakuendesha timu silazimishe sifa.
Eti alikuwa msaidizi Mamelod lini hiyo. Sasa
1. Anatoka timu iliyo ligi daraja la kwanza South Africa
2. Kati ya mechi 30 za mwisho kashinda 7tu na kapigwaa 10. Ligi daraja la chini uko uko.
3. Timu yake haijafika ata kucheza play of ili ipande daraja.
4. Alishawahi kuajiliwa Orlando Pirates akafukuzwa ndani ya robo msimu.
Hajui lolote kuhusu mechi za kimataifa.

Kocha mwingine wa mchongo mchongo.
View attachment 3034301
Msimu uliopita aliishusha pia timu hiyo daraja. Akiwa kocha.

Hana timu kwa sasa. Tim

Ni kocha mbovu zaidi kuliko wote South AAfrica

Timu yake inaitwa Maritzburg United
View attachment 3034289
View attachment 3034285
Mnachukua na nani wewe fala? Mbona husemi ya yanga yako kugeuka dampo la Simba?
 
Hakuna Simba bozi kama wewe tunakujua wewe ni nyumamwiko
Nilijua washabiki wa yanga tu ndio hawajielewi. Kumbe timu ikianza kuwa mbovu na washabiki akili zinalala. Unatetea utumbo utumbo tu.

Nimeonesha cv ya kocha ilivyo mbovu kabisa. Kwa fact sasa kisa mi shabiki niseme ni bora kweli?
 
Sisi Yanga tunasubiri tu ligi ianze, Simba tutampiga 7 ndani 7 nje.
 
Pitia uzi zangu za nyuma sijawahi kuwa yanga ata siku moja. Kukosoa inahitaji taaluma kwa mkosoaji na mkosolewaji
Kwani wewe una tofauti gani na Mchome mapovu? Nyie ni watopolo mnaitumia Simba kujipatia umaarufu.
 
Attachments

  • FB_IMG_1711768413073.jpg
    FB_IMG_1711768413073.jpg
    76.5 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1702911726848.jpg
    FB_IMG_1702911726848.jpg
    64.6 KB · Views: 5
Back
Top Bottom