Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

Acha kupuyanga ,hivi binamu yake Lema zaidi ya fujo ni nini alifanya alipokuwa mbunge?
 
Nimecheka sana yaani hata mwanangu hawezi kujibu hivyo 🀣🀣

Unajua bora Bwana mdogo MAKONDA mara kumi kabisa ana uwezo wa kujenga hoja na kujitoa kwenye Hoja
Aisee sio yakucheka masta ni ya kusikitika sana haya mambo yan huyo ni kiongozi na anaona anajibu senses πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni hatari sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…