Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Gambo hana tofauti na Wabunge wa viti maalumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kupuyanga ,hivi binamu yake Lema zaidi ya fujo ni nini alifanya alipokuwa mbunge?Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
View attachment 2940746
Watu wanaongelea Leo wewe unaongelea Jana.Acha kupuyanga ,hivi binamu yake Lema zaidi ya fujo ni nini alifanya alipokuwa mbunge?
Sio kama LemaWabunge wengi wa CCM ndivyo walivyo, hawana uwezo wa kujenga hoja wao wameshazoea "ndiooo" na mipasho..
Hivi anachokifanya Lema na Mdude kwenye mitandao tuite ni nini?Tunaongozwa na vilaza wengi ndio maana taifa limekuwa la ovyo, limebakia kwenye uchawa tu
odemba mzee wa spanaAlipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
View attachment 2940746
Aisee sio yakucheka masta ni ya kusikitika sana haya mambo yan huyo ni kiongozi na anaona anajibu senses 😂😂😂😂 ni hatari sana sanaNimecheka sana yaani hata mwanangu hawezi kujibu hivyo 🤣🤣
Unajua bora Bwana mdogo MAKONDA mara kumi kabisa ana uwezo wa kujenga hoja na kujitoa kwenye Hoja
Lema na mdude hawana authority yeyote kwenye serikali inayoongoza hii nchi, why uwalinganishe na gambo ?Hivi anachokifanya Lema na Mdude kwenye mitandao tuite ni nini?
Hapati usingizi sababu ya LemaUbongo wake umejaa lema lema tu
Ova
Bungeni wamejaa wachawi tupu na majangiliTunaongozwa na vilaza wengi ndio maana taifa limekuwa la ovyo, limebakia kwenye uchawa tu