Kituko: Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo abanwa maswali na Mtangazaji wa StarTv na kushindwa kutetea Kauli zake, Wabunge wafundishwe kujenga Hoja..

Tuanze moja moja..
Ameelza vipi Mbunge wa zamani amechangia Arusha kutoendelea??
sasa apo daktari unataka tuanze mjadala mpaaaana sana, wa nani kafanya nini, lini Arusha, na kwa maslahi ya nani πŸ’

nadhani record za kila moja ziko wazi na bayana kabisa.

Na kwa ujumla na kwa kuhitimisha tunaweza kusema tu kwamba, kwa utambulisho wa uongozi wao,
huyu moja alikua wa mtu wa fujo, hekaya , hekaheka na makelele ndani na nje ya bunge na lakini huyu mwingine ni mtulivu , mtu wa maneno na matendo ndani na nje ya Bunge kwa maslahi mapema sana ya watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla πŸ’
 
Mkuu umejichagulia Swali ambalo sijauliza..

Japo umelijibu vyema ila sikuuliza hilo swali! πŸ˜€πŸ˜€..

Ni Kweli kwa mujibu wa Wasifu zao na huenda vinachangiwa na Malezi waliyokulia kila mmoja Gambo ni very Humble nimewahi kutana naye mara Kadhaa..
Na lema ni mtu asiye na utulivu..

Bado umeenda nje ya swali nililouliza..

Na hivyo ndivyo alivyokuwa akifanya Gambo Sawa alijibu vizuri ila alijibu vitu ambavyo hakuulizwa
 
Ndo maana mnazidi kuonekana wapumbavu. Hebu tupe sehemu ambayo kajibu vizuri. Upumbavu wa Gambo ni kurusha shutuma kwa Lema kuwa hajafanya kitu jimboni, anaulizwa majukumu ya mbunge hajui, ya serikali hajui, anaulizwa kama magu alisema kwa wale walio wachagua wabunge wa upinzani wasahau maendeleo, Lema atalaumiwa vipi wakati rais ashaliweka wazi? Gambo hakujua ajibuje, yaani kiufupi gambo kaonekana hamnazo kabisa
 
na ndivyo viongozi makini wa wanainchi tunavyogoma kutumbukizwa shimoni kama ambavyo mlibahatisha kwa Prof.Assad kule BBC Swahili hadi mzee wa watu akapata matatizo πŸ’

hapana kufungwa, kuelekezwa au kulazimishawa cha kusema au kujibu πŸ’

ndio maana hata mjengoni wakati wa kuchangia hoja iliyoko mezani, inaweza kua nyingine na wew unachangia kingine. Ni suala la kutumia platform na muda vizur kudeliver intended message πŸ’

hayo mengine yatapata muda mahala pengine πŸ’
 
Katiba ya Tanzania Ina himiza Uwajibika na Uwazi kwa kila Kiongozi..

Na zaidi ikahimiza Mwananchi anayo haki ya kujua Baadhi ya Taarifa bila kufichwa kitu chochote..
Kama ukificha huoni kama Unavunja katiba na kuzuia Uwajibikaji?

Katiba ya CCM Ibara ya 15 ibara ndogo ya 6 ikiongozwa na ibara ya 7 inazuia kutowajibika na inamruhusu mwanachama pale anapoona kashindwa kuwajibika kwa kusema ukweli au kwa kuficha habari kwa Wananchi Sio tusi wala kosa kujikosoa pale unapoona umekosea..

Kitabu alichoandika mwalimu Nyerere kinachoitwa TUJISAHIHISHE..

Kwenye ukurasa wa kwanza Amelenga jamii ya Watu wanaoona kosa na kulifumbia macho na akawaita Wanafiki..


Mwalimu anaendelea kwenye ukurasa wa pili wa kitabu hicho kuwa..


Nyerere anaendelea kusema kuwa..


Sasa kwanini nimekuonyesha yote hayo..

Kwa sababu moja tu utetezi wa makosa Huwa unaghrama kubwa sana ila kutetea upande wa Haki umenyoooka tu
 
asie makini pekee ndio anaweza kuingia kwenye mtego wa mahojiano kama yale na asijue intentions za muandishi kwa maswali mawili tu ya mwanzo πŸ’

thus why mnalalamika kwa kila alichosema mbunge, alijua mnataka nini pamoja na muandishi halafu yeye akapindisha kidogo tu akaingia msikotarajia πŸ’

yowe kila mahali 🀣
 
Mbunge wa mwendazake,ajiandae kufanya kazi zingine,wananchi wa Arusha sio mabumunda
 
I love these references daktari πŸ‘Š

but alichosema mbunge ni Kweli na ni sahihi sana daktari πŸ’

laying trap to a politician through media interviews, now days can't work πŸ’

tunafanya kazi kule kwa mwananchi mnyonge pale chini, huyo yafaa ndie aulizwe vizuri na kwa undani πŸ’

hapa juu kwa viongozi,
tutabishana tyuuuu coz media houses as well as politicians are not trusting each other,
na kwahivyo you can't get a real contents on projects and programmes within costituence....
The truth of everything are on voters pale chini πŸ’
 
Maneno yenu na yawe NDIO au HAPANA zaidi ya hapo ni uongo! Taifa lolote au ardhi yoyote linapokuwa na rada isiyosoma ukweli lazima mpotee tu!
 
Mkuu kama nilivyosema mwanzo!
Na ntaendelea kusema kuwa Gambo Kasema kweli lakini sio sahihi kulingana na maswali na Mazingira aliyoUlizwa..

Unajua kwanini Nimekupa pages za kitabu cha Tijisahihishe kuna kipande nyerere anasema..

Ukisema 2 na 3 Ni 6 unakosea kwasababu kwa Muktadha huu 2 na 3 inaweza ikawa 2x3 au 2+3 So hoja lazima iendane na Swali na mazingira husika..

Soma hoja Ya Baba wa Taifa mwalimu Nyerere Kuhusu Ukweli kwenye Kitabu hicho
Soma paragraph ya Pili hapo..

 
Duuh aisee πŸ™† mtangazaji alikua anapiga tuu mshono pale pale chuma juu ya chuma, hapo ilibaki kidogo gambe angetukana alafu hao ndio viongozi wa ccm sasa
 
Duuh, huyu Mrisho Gambo sikujuwa kama ni wa kiwango hicho. Nimemsiliza ni kama upstairs dishi linayumba. Huyu ndiyo anajinadi kujenga hoja ya ushawishi kweli? Hayu ndiye anajinadi kupambana na Lema ktk fair and equal grounds? Thubutu labda Arusha nyingine siyo hiyo ninayoijuwa.
 
Acha kupuyanga ,hivi binamu yake Lema zaidi ya fujo ni nini alifanya alipokuwa mbunge?
Wewe ulitaka afanye nini kama mbunge? Serikali ndiyo inayotoa fedha kugharimia shughuli za maendeleo tena siyo kupitia kwa mbunge hisipokuwa almashahuri. Wewe ni aina ya kina Mrisho Gambo msiojuwa wajibu na kazi ya mbunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…