MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Ni mwiko kwa mwanaCCM kuwa mwongo.Atleast umesema kweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mwiko kwa mwanaCCM kuwa mwongo.Atleast umesema kweli kabisa
Na ndo maana Najivunia CCM yangu na hiyo ni Ahadi ya 6 na ya 8 Ila inaharibiwa na chawa wachache tuNi mwiko kwa mwanaCCM kuwa mwongo.
sasa apo daktari unataka tuanze mjadala mpaaaana sana, wa nani kafanya nini, lini Arusha, na kwa maslahi ya nani 🐒Tuanze moja moja..
Ameelza vipi Mbunge wa zamani amechangia Arusha kutoendelea??
Mkuu umejichagulia Swali ambalo sijauliza..sasa apo daktari unataka tuanze mjadala mpaaaana sana, wa nani kafanya nini, lini Arusha, na kwa maslahi ya nani 🐒
nadhani record za kila moja ziko wazi na bayana kabisa.
Na kwa ujumla na kwa kuhitimisha tunaweza kusema tu kwamba, kwa utambulisho wa uongozi wao,
huyu moja alikua wa mtu wa fujo, hekaya , hekaheka na makelele ndani na nje ya bunge na lakini huyu mwingine ni mtulivu , mtu wa maneno na matendo ndani na nje ya Bunge kwa maslahi mapema sana ya watu wa Arusha na Tanzania kwa ujumla 🐒
Ndo maana mnazidi kuonekana wapumbavu. Hebu tupe sehemu ambayo kajibu vizuri. Upumbavu wa Gambo ni kurusha shutuma kwa Lema kuwa hajafanya kitu jimboni, anaulizwa majukumu ya mbunge hajui, ya serikali hajui, anaulizwa kama magu alisema kwa wale walio wachagua wabunge wa upinzani wasahau maendeleo, Lema atalaumiwa vipi wakati rais ashaliweka wazi? Gambo hakujua ajibuje, yaani kiufupi gambo kaonekana hamnazo kabisakakwepa matarajio na majibu ya wenye majibu yao mfukoni [emoji205]
kurate kama kajibu kwa umakini ama laa yanabaki kua maoni na mtazamo binafs wa kila moja [emoji205]
but big win for Gambo,
amejieleza vizuri na kwakweli he deserves second term [emoji205]
na ndivyo viongozi makini wa wanainchi tunavyogoma kutumbukizwa shimoni kama ambavyo mlibahatisha kwa Prof.Assad kule BBC Swahili hadi mzee wa watu akapata matatizo 🐒Mkuu umejichagulia Swali ambalo sijauliza..
Japo umelijibu vyema ila sikuuliza hilo swali! 😀😀..
Ni Kweli kwa mujibu wa Wasifu zao na huenda vinachangiwa na Malezi waliyokulia kila mmoja Gambo ni very Humble nimewahi kutana naye mara Kadhaa..
Na lema ni mtu asiye na utulivu..
Bado umeenda nje ya swali nililouliza..
Na hivyo ndivyo alivyokuwa akifanya Gambo Sawa alijibu vizuri ila alijibu vitu ambavyo hakuulizwa
Sasa na tunasikiliza majibu ya Mwashambwa😁Mwaga vitu🤣Shida yenu mnataka mtu ajibu maswali na kuwapa majibu mnavyotaka nyie na yanayowafurahisha
Gambo na mwashambwa kwa akili yako majina yanafanana?Kumbe huyu Jamaal Lucas Mwasambwanda ndiyo Gambo hapa JF ? Duh!!!
Katiba ya Tanzania Ina himiza Uwajibika na Uwazi kwa kila Kiongozi..na ndivyo viongozi makini wa wanainchi tunavyogoma kutumbukizwa shimoni kama ambavyo mlibahatisha kwa Prof.Assad kule BBC Swahili hadi mzee wa watu akapata matatizo 🐒
hapana kufungwa, kuelekezwa au kulazimishawa cha kusema au kujibu 🐒
ndio maana hata mjengoni wakati wa kuchangia hoja iliyoko mezani, inaweza kua nyingine na wew unachangia kingine. Ni suala la kutumia platform na muda vizur kudeliver intended message 🐒
hayo mengine yatapata muda mahala pengine 🐒
asie makini pekee ndio anaweza kuingia kwenye mtego wa mahojiano kama yale na asijue intentions za muandishi kwa maswali mawili tu ya mwanzo 🐒Ndo maana mnazidi kuonekana wapumbavu. Hebu tupe sehemu ambayo kajibu vizuri. Upumbavu wa Gambo ni kurusha shutuma kwa Lema kuwa hajafanya kitu jimboni, anaulizwa majukumu ya mbunge hajui, ya serikali hajui, anaulizwa kama magu alisema kwa wale walio wachagua wabunge wa upinzani wasahau maendeleo, Lema atalaumiwa vipi wakati rais ashaliweka wazi? Gambo hakujua ajibuje, yaani kiufupi gambo kaonekana hamnazo kabisa
I love these references daktari 👊Katiba ya Tanzania Ina himiza Uwajibika na Uwazi kwa kila Kiongozi..
Na zaidi ikahimiza Mwananchi anayo haki ya kujua Baadhi ya Taarifa bila kufichwa kitu chochote..
Kama ukificha huoni kama Unavunja katiba na kuzuia Uwajibikaji?
Katiba ya CCM Ibara ya 15 ibara ndogo ya 6 ikiongozwa na ibara ya 7 inazuia kutowajibika na inamruhusu mwanachama pale anapoona kashindwa kuwajibika kwa kusema ukweli au kwa kuficha habari kwa Wananchi Sio tusi wala kosa kujikosoa pale unapoona umekosea..
Kitabu alichoandika mwalimu Nyerere kinachoitwa TUJISAHIHISHE..
Kwenye ukurasa wa kwanza Amelenga jamii ya Watu wanaoona kosa na kulifumbia macho na akawaita Wanafiki..
View attachment 2940932
Mwalimu anaendelea kwenye ukurasa wa pili wa kitabu hicho kuwa..
View attachment 2940934
Nyerere anaendelea kusema kuwa..
View attachment 2940935
Sasa kwanini nimekuonyesha yote hayo..
Kwa sababu moja tu utetezi wa makosa Huwa unaghrama kubwa sana ila kutetea upande wa Haki umenyoooka tu
Maneno yenu na yawe NDIO au HAPANA zaidi ya hapo ni uongo! Taifa lolote au ardhi yoyote linapokuwa na rada isiyosoma ukweli lazima mpotee tu!Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
Mkuu kama nilivyosema mwanzo!I love these references daktari 👊
but alichosema mbunge ni Kweli na ni sahihi sana daktari 🐒
laying trap to a politician through media interviews, now days can't work 🐒
tunafanya kazi kule kwa mwananchi mnyonge pale chini, huyo yafaa ndie aulizwe vizuri na kwa undani 🐒
hapa juu kwa viongozi,
tutabishana tyuuuu coz media houses as well as politicians are not trusting each other,
na kwahivyo you can't get a real contents on projects and programmes within costituence....
The truth of everything are on voters pale chini 🐒
Acha hasira zakipumbavu wewe ni Gambo unatumia lD mbiri ndiyo mana unamipasho aibu ili naswa kwenye luninga...Wewe ni Gambo narudia tena.Gambo na mwashambwa kwa akili yako majina yanafanana?
Duuh, huyu Mrisho Gambo sikujuwa kama ni wa kiwango hicho. Nimemsiliza ni kama upstairs dishi linayumba. Huyu ndiyo anajinadi kujenga hoja ya ushawishi kweli? Hayu ndiye anajinadi kupambana na Lema ktk fair and equal grounds? Thubutu labda Arusha nyingine siyo hiyo ninayoijuwa.Alipoulizwa kuhusu Kuleta maendeleo Arusha Mjini bado alionekana ana jing'ata ngata..
Tunahitaji Mijadala ya Kitaifa kwa Viongozi na Maswali magumu kama haya kwa Viongozi ili tujue Kama kiongozi wetu wako vizuri Upstair au Ni Gambo
Wewe ulitaka afanye nini kama mbunge? Serikali ndiyo inayotoa fedha kugharimia shughuli za maendeleo tena siyo kupitia kwa mbunge hisipokuwa almashahuri. Wewe ni aina ya kina Mrisho Gambo msiojuwa wajibu na kazi ya mbunge.Acha kupuyanga ,hivi binamu yake Lema zaidi ya fujo ni nini alifanya alipokuwa mbunge?