John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,342
kwenda huko.
Kaswende hyo.
Soma post yangu vizuri, sio unakurupuka tu.
Sio kwenye uke, ni hapa mbele panapoota mavuzi, mweeh!
Sina mume, nina ATM Mashine tu.
unanikumbusha enzi za kubalehe niliwahi kutumia shampoo ( siikumbuki jina) kumasturbate. nilipata muwasho mtamu mtamu kama huo! Na haikuwa ugonjwa wowote, baadae ilikata yenyewe. Labda na wewe acha kitumbua kijitibu chenyewe kama hamna ugonjwa.
Habarini wadau.
Sijui nielezeje ila ni kwamba najikuna sana hapa mbele (kwenye kitumbua) panapoota nywele.
Nimepima sina fangasi, ugonjwa wa ngozi na wala sina harara.
Nikinyoa,nisiponyoa hali ni ileile.
Ila najikuna sana mpaka nasikia utamu.
Wataalamu, nikapime kipimo gani?
Kumbuka ni mwaka sasa hili tatizo lipo.
Sina mume, nina ATM Mashine tu.
Usijali my wii.....daktari tu ndo hua hafichwi ukweli wengine hawana effects.Asante my wii.
Ila usimwambie kaka, maana nyumbani nimewaficha ugonjwa wangu.
Umeona ee!