Afrika imefanywa kuwa soko, kuna uwezekano viwanda vyetu vidogo vidogo vyote vikafa huko mbeleni kutokana na ubora wa bidhaa pamoja na gharama za uzalishaji ukilinganisha na China.
Leo hii nenda nchi yoyote huko duniani; Je, ni bidhaa gani kutoka huku kwetu utaipata kwenye maduka ya nje?