RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Serikali iondoe Kodi kwenye viwanda vidogo vidogo vya wazawa. Wazawa watauza tu kwa bei shindani.Afrika imefanywa kuwa soko, kuna uwezekano viwanda vyetu vidogo vidogo vyote vikafa huko mbeleni kutokana na ubora wa bidhaa pamoja na gharama za uzalishaji ukilinganisha na China.
Leo hii nenda nchi yoyote huko duniani; Je, ni bidhaa gani kutoka huku kwetu utaipata kwenye maduka ya nje?