Kituo cha Biashara Ubungo then asilimia 100 ya products ni imported tena kutoka China, inasikitisha mno

Kituo cha Biashara Ubungo then asilimia 100 ya products ni imported tena kutoka China, inasikitisha mno

Afrika imefanywa kuwa soko, kuna uwezekano viwanda vyetu vidogo vidogo vyote vikafa huko mbeleni kutokana na ubora wa bidhaa pamoja na gharama za uzalishaji ukilinganisha na China.
Leo hii nenda nchi yoyote huko duniani; Je, ni bidhaa gani kutoka huku kwetu utaipata kwenye maduka ya nje?​
Serikali iondoe Kodi kwenye viwanda vidogo vidogo vya wazawa. Wazawa watauza tu kwa bei shindani.
 
Mfumo wetu wa Elimu ndiyo unatupeleka kwenye hali hii.
China wame-advance technology kupitia Elimu yao kunakowawezesha kuzalisha kwa wingi kupitia technology waliyo nayo na Sasa wanatafuta soko la bidhaa zao.

Hicho kituo kitumike kuuza bidhaa za Tanzania nje ya nchi kwa bidhaa zipi tunazozalisha Tanzania?

Mfano angalia bidhaa ya china Kama yeboyebo (malapa) kwenye masoko yetu zinauzwa 2,500 - 3,000.
Ni technology ipi ya Tanzania unaweza kuzalisha na kuuza kwa bei hiyo sokoni sio kiwandani.
Wenye mamlaka wanaona tupo at right track.

Sisi acha tuendelee kusoma panzi ana miguu mingapi
 
Kwa ufupi watanzamia sio waadililifu katika biashara tuna tanguliza tamaa wizi utapeli na wivu, kwa hili mkuu nakuunga mkono kwa 100%. Wantanzania wanajificha kwenze uzalendo kuumiza watanzania wenzao hawana huruma wanapenda kubebwa na serikali wakati wao hawawezi kubeba wateja wao......Uganda na Kenya wanaishi wao wameanza kushindana na wa Hindi na wa China kwenye bishara na viwanda bila kubebwa na serikali wa China wengi wanakimbilia Tanzania kwasbb raia wengi wa tanzania wamezoea vitu vya bila ushindani vya bure.
Asante sana
 
Back
Top Bottom