LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Halafu ni Wasimamizi ni Walimu na ndio wanaolalamika maisha magumu kila siku
 
Miafrika ndivyo ilivyo, kichwa tikiti maji lakini ubongo gololi...
 
Mimi siyo mwanachsma wa chama chochote ila kamavwatanzania tutashindwa kudai katiba mpya kwa tume hii mimi sitajisumbua kwenda kupiga kura, watu wanaanza kuchakachua kwenye wagombe wanaengua 70%√ kisha wanakuja kwenye mawakala nao wanawaengua bado haotoshi hiyo idadi ndogo ya wapinzani waliyopita asilimia kumi wanafanyiwa mizengwe kabla ya kupiga kura, wanajitoa asilimia 20 ya 70 iliyobaki wanafanyiwa mizengwe siku ya kupiga kura. Sifanyi upambavu huu, nitajikatia kadi yangu ya CCM ili nisiumiye moyo.
 
Uongo tu huo!
 
Hizi ndizo habari ccm wanazipenda.
 
Wakati watu wako kwenye sarakasi na kupigwa jua wanakanyagana na kusukumizana wapige kuraaaa
Wengine Acha tupige capuchino 😄

Ova
 

Attachments

  • 20241127_100509.jpg
    363.6 KB · Views: 2
Nchi hii Bwana sina hamu nayo. Tunazungumzia kuwa kura itakuwa huru na haki. Haki gani hiyo.Kura inapigwa kabla ya saa mbili muda ulliowekwa kisheria.
Ina maana Rais Samia kàtudanganya!? Daktari wa heshima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…