Mkuu,Wapelekwe wapi?au wafukuzwe unamaanisha?Hii issue ya wamachinga ni issue ya kisiasa.Ushauri wangu ni Rahisi Tu.Badala ya vile vitambulisho vya hayati uwekwe mfumo maalum wa kuwatambua pamoja na maeneo waliyopo,Aina ya bidhaa etc ili kuhakikisha kwamba hawaharibu mpangilio wa mji.Hawa machinga mimi nashauri waondolewe hata katika ya miji mikubwa wao watafutiwe sehemu nyingine. Machinga wamekuwa kero kubwa
Je katika ramani walitengewa.. Yani sometimes huwa tuna idea za ajabu. Eti wakitengewa sehemu huwa wanasema wateja hawaendi.. Hivi huwa najiuliza kuna mtu anagoma kwenda hospitali kisa ipo mbali.. Binadamu lazima afuate huduma popote ilipo kama anahihitaji.. Machinga wanatakiwa wakae sehemu moja magengeni huko sio barabarani.. Yani hatutemebi kwa rahaWawepo mdani na nje lakini kwa utaratibu
Kusema Wamachinga waachiwe kwenda kutandaza bidhaa za Airport ni kuwaumiza?
Mm msimamo wangu unajulikana,acha unafiki ww mwanamkeKuna mnafiki mkubwa kama wewe hapa Jf?
Jiongezage kidogo.... panapokua na changamoto usikurupushwe na hisia unaweza ishia kushindwa kueleweka
Uliambiwa kama nan labda,mbona unajikweza sana?,mwendazake zama zake zimeshapita hizi ni zama zingine ukae ukilijua hiloNilipita pale wiki2 zilizopita nikaambiwa vyakula haviruhusiwi kuingizwa kituoni kwa sasa ila vinapatikana upande wa pili wa kituo
Pia niliambiwa ujenzi unaendelea... na ukikamilika kila kitu kitakua sawa
Watengewe sehemu nyingi nyingi, masokoni na karibu na vituo vikubwa vya daladala/mabasi. Barabarani waondoke kwa kweliJe katika ramani walitengewa.. Yani sometimes huwa tuna idea za ajabu. Eti wakitengewa sehemu huwa wanasema wateja hawaendi.. Hivi huwa najiuliza kuna mtu anagoma kwenda hospitali kisa ipo mbali.. Binadamu lazima afuate huduma popote ilipo kama anahihitaji.. Machinga wanatakiwa wakae sehemu moja magengeni huko sio barabarani.. Yani hatutemebi kwa raha
Airport si Stendi ya ndege au jina airport ndio linakunfanya ushobokeHuko airport kuna watu wengi kama bus stand?
Kipindi magufuli anaingia waliwaondoa wote njiani sijui kilimkuta nini akawarudisha.. That was bad move.. Mambo yanatakiwa yafuate mipango iliyopangwa.. Ukiacha holela holela ndio kujenga jiko na choo sehemu mojaWatengewe sehemu nyingi nyingi, masokoni na karibu na vituo vikubwa vya daladala/mabasi. Barabarani waondoke kwa kweli
Huu uchafu kabisa wanauwekaNani sasa awaguse wakati mwendazake aliamuru wasiguswe waacheni tu mapaka watakapo oona kero ndio watawatfutia sehwmu nyingine....View attachment 1754433
Mnafiki wewe unaetamani kuona wamachinga wakitaabika badala ya kutoa maoni ya kuboreshaMm msimamo wangu unajulikana,acha unafiki ww mwanamke
Niliambiwa kama mama D, una swali lingine🙄🙄🙄??Uliambiwa kama nan labda,mbona unajikweza sana?,
Ni kweli Kila mtu anahaki ya kupata riziki,lakini kuwe na mpangilio maalumu mfano stendi kama hiyo imefunguliwa wajengewe soko jirani wapate riziki zao huko,kama walivyojenga pale Simu 200 Sinza.Umeandika sanaaaaaaa kwanini hawa wamachinga wanakuumiza hivi?
Waache wenzio wapate rizki sababu nao wana mahitaji kama yako japo hawana kazi sawa na yako
Ona bus terminal ilivyokuwa ndani kuko kimpangilio,biashara na shuguli zinafanyikaHata mimi nilitaka kuitaja zambia sababu ndio nchi walau tunaendana kiuchumi, Lungu katuzidi sana, stendi yake biashara zote ziko kwenye fremu kubwa na vifremu vidogo, hakuna bidhaa iliyomwagwa chini wala vimeza meza. Highway yao ya kutokea huku kwetu hakuna banda la turubai utaliona linapepea pembeni mwa barabara, na sehemu za biashara zote highway ziko mita kadhaa kutoka barabarani. Angalau ndicho nilichokiona kwa mwaka huo 2018 nilipokua hapo sijui kwa sasa.
Huku mambo yaliyofanyika kwa miaka mitano mfululizo sidhani kama kuna kiongozi atayekuja kuweza kupambana na machinga wanaopanga biashara zao hadi mabarabarani. Itabidi kutumia mabavu kuwaondoa which sio sahihi au kuwaomba sana na kuwanyeyekea wahame, kitu ambacho nacho hawatatii.
Airport si Stendi ya ndege au jina airport ndio linakunfanya ushoboke
Mimi niliwahi kusema hata kwenye hili la hawa kina Mama wanaopanga bidhaa barabarani...kuna Watu hawafanyi kazi zao walizoajiriwa kwazo.Kama wanaosimamia wameshindwa kazi wapewe usaidizi. Tatizo sio wafanyabiashara wadogowadogo.
Kwa idadi yao ni lazima uwapunguze tu maana wanafanyia biashara hata sehemu sio sahihi sasa ukiwapa eneo hawatatosha labda uwapangie siku za kuja na hapo bado watamkumbuka JPMHakuna haja ya kuwagusa kama ina maana ya kuwaondoa
Ila ipo haja ya kutengeneza mfumo mzuri wa wao kuwepo kwa manufaa ya wote
Ndio maneno umebaki nayo hayo,kama ni maoni member wengine wameshatoa huko juu lkn bado unayapinga,ndio maana kuna jamaa amekuuliza ww upo upande hueleweki na mm ndio nakwambia tena acha unafiki,jiwe hasafishikiiiiiMnafiki wewe unaetamani kuona wamachinga wakitaabika badala ya kutoa maoni ya kuboresha
Niliambiwa kama mama D, una swali lingine[emoji849][emoji849][emoji849]??
Unayejikweza ni wewe unayetamani kuwauwa machinga na familia zao.... mfyuuu
Ni kweli Kila mtu anahaki ya kupata riziki,lakini kuwe na mpangilio maalumu mfano stendi kama hiyo imefunguliwa wajengewe soko jirani wapate riziki zao huko,kama walivyojenga pale Simu 200 Sinza.
Mji unakuwa utafikiri tuko buyenzi [emoji23][emoji23]Hayo ndio maneno
Bado ujenzi unaendelea na watakapomaliza nadhani changamoto nyingi zitaisha