Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku


Zimekosa wapangaji?
 
Tanzania katika business plan sijui tuna fail wapi wakati mwingine naona kama huwa wanafurahia miradi ili watu wapige pesa lakini plan za kibiashara hakuna. Hii ni miradi ya muda mrefu inahitaji kuvutia na kuweka mazingira bora lakini angalia vitua vipya, angalia masoko mapya ni kama miradi haikuwa na plan lakini hakuna mtu atawajibika.
 
Hizi bei zilipangwa lini? JPM alibahatika kuziona au kuzifahamu wakati wa uhai wake?
Toka kituo hakijafunguliwa hizo bei zipo na mwendazake alikua anajua,nina mdogo wangu alifukuzia fremu ndogo tu akapewa kodi ya 3m kwa mwezi..kabla hata kituo hakijazinduliwa,ccm ilishafeli kitambo imebaki kupiga kelele tu
 
Mataga aliyewaloga tumemzika last month.
yani huduma ya sh.million 36 kwa mwezi per 1 frame???

Wewe nae ni kama JPM alikuchukulia Mke wako,siyo kwa gubu hili,nenda Chato basi ukamalize hasira zako. Mwanaume mzima unakuwa na kisirani utadhani Mama Mjamzito
 
Hii typing"error"na boss kaiweka hapa bila y'a kufanya"proof reading"
 
Wewe nae ni kama JPM alikuchukulia Mke wako,siyo kwa gubu hili,nenda Chato basi ukamalize hasira zako. Mwanaume mzima unakuwa na kisirani utadhani Mama Mjamzito
Acha jazba za kike.

Najadili bei ya pango hapo station ambapo ni tsh.million 36 kwa mwezi.

Huyo marehemu mume wako unayemtaja hapa mimi hata sijamzungumzia ila najua wajane huwa mnachelewa sana kuamini kuwa mmefiwa na mume.

Any way maliza Eda ni siku 40 tu utakaa sawa.
 
Mimi tokea tu Siku ile nikwazike na Hayati Rais Dkt. Magufuli kwa Kuwaruhusu Wamachinga wajitawale ndani humo nilijua kuna shida na hata sitaki kuyasikia yanayojiri huko kwani ni Upuuzi mtupu tu.
Wewe kama mimi tu, mmachinga angalia alivyoiharibu kariakoo leo hii wanamruhusu stendi
 
Yni uuze msosi wa milion 5 per day?

Sahani elf ngap hizo

Hizo sehemu, wanaolalamika ni huku kwenye mitandao tu!
Kuna watu hawajui hii na hata smartphone hawamiliki lakini kwenye hizo frem za kuuzia soda na vinywaji ambapo kodi yake ni 1M+ per day ndio wamezishikilia! Nenda pale uone kama hazina wapangaji wanaouza hivyo vyakula na vinywaji tena kwa bei chee kabisa!
Fanya hesabu ndogo tu, watu wanaoingia stand pale wastani kwa siku ni zaidi ya watu 12,000. Kati yao watu 4000 wakinunua maji kwa bei ya Tsh 500, hiyo ni 2M kiwango cha chini!
Msosi bei ya wastani 1500/= kwa watu 4000 hiyo ni 6M!
Usiseme hao watu 4000 watakaa wapi, au kama wote wataenda sehemu moja maana sehemu zitakuwa nyingi!
Ukweli ni kwamba wenye fedha na uwezo wa kulipa tayari wapo mzigoni, wasio na vibanda hata vya chips ndio wamebaki kulalamika tu, utadhani walienda wakafukuzwa kwa mtutu!
 
Hivi haya masomi yetu tuliyo yaaamini Yana akili kweli?
 
Ona aibu angalau!
 
Ni very expensive...
Lakini umeangalia hizo jumla ya square meter? Naona vyumba ni vikubwa sana wanaweza kuvigawanya zaidi....
 
Watapanga wenye mitaji mikubwa kama ilivyo rocky city mall vyumba vimebakia vitupu, vingine wanapangisha vyuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…