Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kwa vyovyote vile, Farao atataka kuja kuzindua ili apate jukwaa la kuropoka zile hadithi zake za kutunga kuhusu barakoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilishazinduliwa bwashee!Kwa vyovyote vile, Farao atataka kuja kuzindua ili apate jukwaa la kuropoka zile hadithi zake za kutunga kuhusu barakoa.
Lugha gongana!!!Umeambiwa kinafunguliwa siyo kuzinduliwa!
Watafute kwa kwenda sasa na wezi itafikia mwisho katika stendi!!kama nawaona vile wapiga debe ambao ni wasaka tonge sijui itakwaje
Sinema za kihindi zile + siasa za uchaguzi hamna kitu na mradi umesimamishwa.Ujenzi umeanza au Sanaa tupu
Itakuwa Marangu terminal!Kwahiyo ubungo tutafungua chato terminal.
#MaendeleoHayanaChama
Mgeni rasmi wa kukizundua kwa mara nyingine tena atakuwa ni nani Bwashee Mzee Mgaya? Au safari hii ni kimya kimya?
Debe alikwepeki ni sawa na madalaliNgoja tuone issue ya wapiga debe itakuwaje
Ova
Mambosasa kasema watapata tabu sana!Debe alikwepeki ni sawa na madalali
Nimeshaona fursa hapaKituo kizuri kitapunguza msongamano, ila serikali ifikirie Dar ni kubwa, mtu anaishi Kigamboni Pembamnazi, anaenda Mbeya....