Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
😂😂Nimestaafu ndugu nakula tu pensheni nipo huku olili borderMan nimepita hapo stand ndogo juzi sikukuona 😂!.
Nilitoka kata ya Olasiti kufuatilia ujenzi wa stendi ya mfano jijini Arusha jirani na chuo cha veta.
Wapigadebe watakosekanaje wakati kituo cha daladala kipo upande wake na stand kuu upande wake, wanasiasa muogopeni Mungu acheni kudanganya watu, kwa hiyo set-up expect wapigadebe kujipachika in betweenMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Kunenge amesema Jumatano hii ndio siku ya mwisho kwa kituo cha Ubungo kutumika na kuanzia alhamis kituo kipya cha Mbezi kitaanza kutumika....
Mzinduaji mkuu atakuwepo ndiyo maana yupo Dar kitambo snaMgeni rasmi wa kukizundua kwa mara nyingine tena atakuwa ni nani Bwashee Mzee Mgaya? Au safari hii ni kimya kimya?
Online ticket hazipo tena?Wapigadebe watakosekanaje wakati kituo cha daladala kipo upande wake na stand kuu upande wake, wanasiasa muogopeni Mungu acheni kudanganya watu, kwa hiyo set-up expect wapigadebe kujipachika in between
Ukiona jambo hawalisemi repeatedly ujue wamekwama na alternative ni kuwaingiza wapigadebe kinamnaOnline ticket hazipo tena?
Tuna anzisha vitu kwa mbwembwe huku hatuna uwezo navyoUkiona jambo hawalisemi repeatedly ujue wamekwama na alternative ni kuwaingiza wapigadebe kinamna
Nadhani walitakiwa wapewe kukiendesha wale walio designTuna anzisha vitu kwa mbwembwe huku hatuna uwezo navyo
Watu watapigaje pesa? huo ni mgodi kama Mererani mkuuNadhani walitakiwa wapewe kukiendesha wale walio design
RC Kunenge amesema hatua hiyo imekuja baada ya kukamilika kwa miundombinu yote muhimu ikiwemo majengo, maegesho, barabara na ofisi za kutoa huduma.Pichani muonekano wa kituo cha kipya cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi cha Mbezi Luis.
Sasa hivi ukiiba tukikukamata tunakunyang'anya silaha haraka haraka.Nadhani ni kipindi sahihi cha wezi kuongezeka dar es salaam
Naye kamanda Mambosasa amesema wapiga debe wa ubungo hawatakiwi kuonekana stendi mpya ya Mbezi na kwamba stendi hiyo haitakuwa na wapiga debe
TayariMbona hakijaisha kile. Wanakimbilia wapi zile barabara za entrance wameshaweka lami?
Msafiri gani gharama zake zitakuwa kubwa? Hujui kuna wengine wa Kimara, Kiluvya, Mbezi, Goba, Tabata, Malamba Mawili, Madale wamepunguziwa safari. Kila kitu kina faida na hasara.Watu wa Mbagala muwe mnaondoka siku moja kabla transit mjini 🤣 ila naunga mkono Terminal kutolea nje ya mji ndio maendeleo ila kila jambo zuri lina gharama na changamoto. wasiwasi wangu ni kuwa barabara ya mbezi italemewa na bajaji, bodaboda na taxi hata private hizi ndio changamoto japo njia imetanuliwa ni matumaini kila kitu kitaenda vizuri ila gharama kwa wasafiri zitakuwa kubwa.