MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 350
Ni kweli wakati iko Kisutu na msimbazi mji ulikuwa haujakuwa ila population kubwa ya watu haiko huko ila nakubaliana na wewe na mimi naunga mkono stand kutoka Ubungo watu watazoea tu, sipingi hii move na itafungua fursa kwa wengine.Msafiri gani gharama zake zitakuwa kubwa? Hujui kuna wengine wa Kimara, Kiluvya, Mbezi, Goba, Tabata, Malamba Mawili, Madale wamepunguziwa safari. Kila kitu kina faida na hasara....
Safi sanaMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Kunenge amesema Jumatano hii ndio siku ya mwisho kwa kituo cha Ubungo kutumika na kuanzia alhamis kituo kipya cha Mbezi kitaanza kutumika...
Wewe ndio utakuwa wa kwanza kupigwa roba.Sasa hivi ukiiba tukikukamata tunakunyang'anya silaha haraka haraka.
Jichanganye tu. Mambo ya kupeleka wezi mahakamani unayasikia Tena?
Hapo ndo mtihani sasa.Vipi kuhusu miundombinu ya kusafirisha waenda mikoani wanaoishi Gongo la mboto, Chamazi, mbagala, Buguruni, Kawe, Tegeta, Bunju ili wawaahi mabasi yao saa 11: 00 alfajiri. Ubungo ilikuwa rahisi kwao. Sasa huko Mbezi watakiona cha mtemakuni.
Wapiga debe siyo wadau!!!?Aidha, RC Kunenge amesema tayari Serikali imekutana na wadau wote husika ikiwemo chama Cha Wamiliki wa Mabasi TABOA na wote wamejiridhisha kuwa kituo kimekamilika na kipo katika hali nzuri ya kutoa huduma hivyo wapo tayari kutoa huduma.
Kule Tanga makampuni yameweka mabasi kwenye ofisi zao za mjini, abiria wanareport kwenye ofisi hizo kisha wanapakiwa kwenye bus moja kupelekwa stand kuuHapo ndo mtihani sasa.
Teknolojia imewaacha!Wapiga debe siyo wadau!!!?
Border yangu hiyo, ngoja huyu jamaa covid aondoke nitakuwa nakupitishia 🥕 na 🍅 upelekee watoto😁!😂😂Nimestaafu ndugu nakula tu pensheni nipo huku olili border
Najiuliza bus za songea zinazopita njia ya kusini had kufika mbezi lol.Kule Tanga makampuni yameweka mabasi kwenye ofisi zao za mjini, abiria wanareport kwenye ofisi hizo kisha wanapakiwa kwenye bus moja kupelekwa stand kuu
Hata hapa kuna mabasi yana ofisi zao manzese mfano Shabiby Dar express, Dar Lux nk...nkKule Tanga makampuni yameweka mabasi kwenye ofisi zao za mjini, abiria wanareport kwenye ofisi hizo kisha wanapakiwa kwenye bus moja kupelekwa stand kuu
Teknolojia ndio imewakataa bwashee!Wapiga debe wote ni chadema. Hatuwataki