Kituo cha polisi Chang'ombe temeke kimulikwe, huyu kijana mnayemfuga (Kadoda) analitia doa sana jeshi la polisi

Aaaaah washenzi kweli mim wangeniweka ndani aiseh
 
We
We ndie umenena Sasa ukimpeleka kituo Cha mbali hawawezi kukuambia mpeleke kituo alichofanyia tukio.
Police mtani wake mwizi mchawi swahiba wake mganga hawawezi tupana.
 
We
We ndie umenena Sasa ukimpeleka kituo Cha mbali hawawezi kukuambia mpeleke kituo alichofanyia tukio.
Police mtani wake mwizi mchawi swahiba wake mganga hawawezi tupana.
 
Sasa si inategemea na eneo tukio lilipotokea? Tukio haliwezi kufanyika mbagala ukaenda kushitaki ukonga. Cha msingi ukiona hujaridhika unaenda ngazi inayofuata tu, mimi hapo chang'ombe kuna mtu nilikuwa na kesi naye ya pesa, akaileta kunilipa, si wakataka tugawane nusu kwa nusu,na wao nikaona huu ni ujinga nikakataa, wakasema basi hakuna kesi, hapa, wakamuachia yule mtuhumiwa na ile pesa wyote wakamrudishia!! Baba nilipambana hadi kwa RPC,mbona pesa yangu yote ililipwa, ikabakia majuto kwa yule mdaiwa, kwani siku ile walichukua laki 5 toka kwa jamaa, eti hakuna kesi!! Siku ya kunilipa anamuuliza RPC, je ile laki tano niliyowapa askari inakuwaje? Akajibiwa kwani ulimpa huyu?!! Akasema hapana akaambiwa kawadai hao hao.
 
Afande Rashid na afande Rajab wa cyber, Tz ndogo sana ndugu zangu. Tutakutana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…