Kituo kikuu cha kuzalisha gesi Iran nacho kinaungua mda huu!

Vita hii ni hasara kubwa kwa Iran. Iran, nchi kubwa maradufu ya Israel, yenye matu karibia mara 10 ya Israel, lakini yenye uchumi mdogo sana kuliko Israel, yenye idadi kubwa ya watu maskini ukilinganisha na mahasimu wao Israel. Lakini ikumbukwe kjwa Iran ipo kwenye vikwazo vya kiuchumi, na uchumi wa Iran jmeegemea kwenye mafuta na gas tu, tofauti na Israel yenye uchumi mchanganyiko. Hivyo, Israel ikivipiga vituo vya kuzalishia gas na mafuta, vita hii itaifanya Iran kuwa hoi kabisa kiuchumi, tazama hii:

Comparison. In 2023, Iran ranked 58 in the Economic Complexity Index (ECI 0.084), and 92 in total exports ($13.2B). That same year, Israel ranked 19 in the Economic Complexity Index (ECI 1.28), and 49 in total exports ($69.3B).

Ona Iran ilivyo kiwango cha chini kwenye qualities zote, ikilinganishwa na Israel:


Iran. Israel
Unemployment rate:9.2 %3.2 %
Inflation rate:31.70 %3.10 %
Commercial taxes and contributions:25.00 %23.00 %
Average income:4,650 US$54,650 US$
 
Hapa ni wazi Roho ya Ayatollah ndio onatafutwa ili waweke utawala mwingine hapo Iran ili isije kuwa threat tena kwa Israel. Ni vyema akaomba suluhu mapema.
 
CCM wao wanasemaje?
Eti wataenda kuisaidia Iran 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Yote mnaongea humu mbona kajanja tu lakin ardhini hamna kitu Kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…