Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Rostam aziz atajaza wapi gesi zake anazowauzia wabongo
Kipimo ni nini na tunasikia kila saa hiki kimedungwa hiki kimebondwa kabla ya bandar ya abas ituo cha mafuta na gas kimelamba motoMpaka Sasa hakuna nchi middle east na ulaya zenye air defense Bora zaidi ya Iran, aseee those people are Beast muajemi sio mtu mzuri
Mkuu si mbaka wawe na uwezo huo wa kupiga.Iran anatakiwa apige panapouma. Piga nuklia zao, piga gas stations... Acha ujinga usiwe kubwa jinga. Vita hii ni wiki tu Kisha tunarudi mezani. US na Russia na China na Saudia wakiwa wasuruhishi. Iran anatakiwa ku level mkeka kabla ya kwenda mezani
😂😂😂😂 DahAyatollaah inasemekana katoroka hayupo Iran na hajapata choo tokea usiku wa juzi vita vilipoanza.
Ujinga mtupu.Kule Gaza huwa mnajificha nyuma ya watoto, ila hapa ni mazima mazima kuonyeshana ukubwa wa dushe kiume.
Iran imepigika haswa, mpaka sasa mumefaulu kuua raia watatu wa kawaida mtaani Israel ila nyie mumefagiwa wakuu jeshini na wanasayansi wa manyuklia
Ngoja tuonEIran ikitulizwa, Hamas, Hezbolla, Houthi nao wataisha. Wanasema ukikata shina la mti, matawi unyauka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Utaratibu wa VITA ni kuacha taarifa zote wazi, sio unapiga marufuku waandiashi kuonesha taarifa hizo.Netanyahu kachafukwa huko anapeleka moto isivyo kawaida, yaani yeye anapiga walipojificha.
Iran yeye imradi lifike Israel
HahahahaKweli nimeamini sio kila Kafir wakumnawa.
Wazee tuendelee na kina Gwajima, Yahudi sio mtu.
Hata ikifika laki 1 ni sawa tu tutalipa ioi wananchi wapate uchungu na nchi Yao lazima vitu vipande beiHii ni mbaya. Hawa watu warudi mezani wazungumze. Huku Afghanistan bei ya mafuta itafika 10,000 kwa lita