Kituo Kikuu cha Mawasiliano kambi ya anga ya Marekani iliyoko Qtaar kiriharibiwa na mashambulizi ya Iran

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
7,637
Reaction score
20,676
Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani baada ya kushambuliwa vituo vyake vitatu vya nyuklia.

Taarifa hizo za uharibifu zina kinzana na taarifa zilizo tolewa na maafisa wa Marekani walio dai kuwa makobora yote yaliyo rushwa na Iran yalizuiwa.
FB_IMG_1752244074438.jpg

Kuvuja kwa Taarifa hizo kumewafanya baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijeshi kuanza kutilia shaka juu ya taarifa za Marekani na Israel juu ya matokeo ya vita kati yao na Iran.
Chanzo :Al Jazeera,military cognizage.

===
Screenshot 2025-07-11 204728.png

Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani baada ya kushambuliwa vituo vyake vitatu vya nyuklia.

Taarifa hizo za uharibifu zina kinzana na taarifa zilizo tolewa na maafisa wa Marekani walio dai kuwa makobora yote yaliyo rushwa na Iran yalizuiwa.
View attachment 3401962

Kuvuja kwa Taarifa hizo kumewafanya baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijeshi kuanza kutilia shaka juu ya taarifa za Marekani na Israel juu ya matokeo ya vita kati yao na Iran.
Chanzo :Al Jazeera,military cognizage.
Naona mengi yamefichwa ndio yanafichuka.
Na usikute hata huko Israel hali mbaya sana sema tunafichwa tu.
Trump kuomba usitishwaji vita alikua na maana yake nahisi alipima upepo.
 
Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani baada ya kushambuliwa vituo vyake vitatu vya nyuklia.

Taarifa hizo za uharibifu zina kinzana na taarifa zilizo tolewa na maafisa wa Marekani walio dai kuwa makobora yote yaliyo rushwa na Iran yalizuiwa.
View attachment 3401962

Kuvuja kwa Taarifa hizo kumewafanya baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijeshi kuanza kutilia shaka juu ya taarifa za Marekani na Israel juu ya matokeo ya vita kati yao na Iran.
Chanzo :Al Jazeera,military cognizage.
Kwani kuwa muislamu ni kuwa mjinga

USSR
 
Hata hivyo Merikani na Qatar wanapashwa kuishukuru sana Iran wakati ilipo wapa taarifa mapema wakati wa vita ya kwanza, kwamba makombora yatashambuli kambi kubwa za jeshi la Merikani mashariki ya kati hivyo, Iran ikaipa Merikani muda mrefu wa kuweza kuhamisha wanajeshi wake kutoka kwenye KAMBI yao ya jeshi la sivyo kama makombora hayo tisa yangefinikia kuifikia kambi hiyo, ni wazi wanajeshi wengi wangekufa au wengine kupatwa na vilema vya maisha/kudumu,wanasema kambi hiyo ilikuwa inahifadhi wanajeshi wa takribani 40,000 (elfu arobaini) kama nakumbuka vizuri!!
 
Hata hivyo Merikani na Qatar wanapashwa kuishukuru sana Iran wakati ilipo wapa taarifa mapema wakati wa vita ya kwanza, kwamba makombora yatashambuli kambi kubwa za jeshi la Merikani mashariki ya kati hivyo, Iran ikaipa Merikani muda mrefu wa kuweza kuhamisha wanajeshi wake kutoka kwenye KAMBI yao ya jeshi la sivyo kama makombora hayo tisa yangefinikia kuifikia kambi hiyo, ni wazi wanajeshi wengi wangekufa au wengine kupatwa na vilema vya maosha/kudumu,wanasema kambi hiyo ilikuwa inahifadhi wanajeshi wa takribani 40,000 (elfu arobaini) kama nakumbuka vizuri!!
Pia makombora yaliyotumika ni mepesi sio yale mazito kama ya Khaibar na Sejjil.
 
Kabisa ,inawezekana Urusi ikashangaa alichofanya Iran,maana ni vitendo na sio porojo,ile vita ingeendelea kwa mwezi basi kuna taifa hivi linhekuwa kama Gaza
Sasa mrusi ndo ilitakiwa awafanyie German na mashoga wenzake wakitoa silaha na yeye anatembeza mkong'oto
 
Back
Top Bottom