B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Sawa sawa kima toto la tapeli mudyNishaku ignore muda sana pita kushoto sijadili na psychopath mie.
Sawa sawa kima toto la tapeli mudyNishaku ignore muda sana pita kushoto sijadili na psychopath mie.
Wataficha saana,lkn ukweli uwa haujifichi.Kuna ADS nyingi tu tena American made mkuu.
Hii vita ya siku 12 imeibua mambo mengi sana na sintomfahamu nyingi sanaa.
Yeah na umeanza kujitokeza mmoja baada ya mwingine.Wataficha saana,lkn ukweli uwa haujifichi.
Pentagon kama.pentagonPentagon imekili alafu ww mlamba mavi ya Netanyau unabisha.
Hii ni sababu kuu iliyomfanya Trump kusitisha vita.Kambi yote ilikwishakatiwa mawasiliano.Ambacho kingefuatia ni kudundwa tu kwa Marekani ,Qattar na Israel.Kambi hiyo iikuwa haina tena mawasiliano na Pentagon.Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani baada ya kushambuliwa vituo vyake vitatu vya nyuklia.
Taarifa hizo za uharibifu zina kinzana na taarifa zilizo tolewa na maafisa wa Marekani walio dai kuwa makobora yote yaliyo rushwa na Iran yalizuiwa.
View attachment 3401962
Kuvuja kwa Taarifa hizo kumewafanya baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijeshi kuanza kutilia shaka juu ya taarifa za Marekani na Israel juu ya matokeo ya vita kati yao na Iran.
Chanzo :Al Jazeera,military cognizage.
===
View attachment 3402226
View attachment 3402228
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin headTuliza mihemko Ayatolla wa Bonyokwa🤣🤣🤣🤣
Dada yako Ayatolla ndio katoka juzi alikokuwa kajificha. Anajua nini kimetokea Tehran. Kule kubwabwaja kwamba Iran haguswi kuko wapi?!!! Kapigwa na kataifa kadogo halafu na cease fire kakubali haraka kama fala.
Kibaya zaidi Hezbollah kimyaaaaa...Houthi anarusha komboea moja moja kama naniliu vile
Sio usikute in short huo ndio uhalisia wenyewe 🤣Naona mengi yamefichwa ndio yanafichuka.
Na usikute hata huko Israel hali mbaya sana sema tunafichwa tu.
Trump kuomba usitishwaji vita alikua na maana yake nahisi alipima upepo.
🤣🤣🤣 Acha uchokoziHapa wayahudi wa mchongo tunapita kama tunaaga maiti
Kwa kweli hiyo ni tech ya hali ya juu sanaNa wenyewe si warushe ya masafa marefu? Kwan lazima wapeleke midege yao ya gharama huko... Kitu watu wanatakiwa waelewe tusiishi kwa kukariri tena, technolgy inabadilika kwa kasi kila leo.. Unarushiwa kombora la gharama nafuu lenye ufanisi wa hali ya juu kwa uharibifu mkubwa mno..umbali wa makilometa.
Sio poa 😁🔥🔥
Tatizo sio Hilo tatizo ni kwamba USA/Israel walituaminisha kuwa hakuna madhara Yaliyo patikana wakati kumbe madhara yapo tena makubwa tu!?Nimesoma comment over 90% niseme tu, sijaelewa hasa why watu wanabishana kuhusu uzi. Uzi ulikua ni wa taarifa ya madhara yaliopatikana baada ya mashambulizi ya Iran to military bases za USA kule Doha; ambacho ambacho sijakielewa on both sides za mashabiki wa Iran na wa Israel/USA ni hiki; "kwamba mlitegemea mashambulizi yasiwe na madhara"? Yaani kombora lipigwe hata kama litadakwa, lisilete madhara kweli? Likidakwa si litashuka chini? Je linamezwa????? Yaani tunaleta ushabiki hadi kwenye facts?
Prove kuwa picture ni ya mchongo walio leta hiyo picture wamesha weka Vivid Evidence wewe hujaweka ushahidi wowote unao onyesha kuwa hizo picture ni fakesasa hapo unataka tutumie nini kukuonyesha kua hiyo picha ni ya mchongo?
Iran kama wameficha nyinyi Israel simnasema kuwa mna technology kubwa ya kutisha inakuwaje tena mshindwe kupata picha za madhara Yaliyo patikana Iran !? Ila nyie Jamaa bhana mnauwezo mdogo sana wa kufikiriBora Iran kazuia picha za madhara ya kichapo cha Israel pale Tehran. Hii inampa ushindi kwenye mipasho kama hivi na chawa wanafanya kazi kubwa kuonyesha alishinda.
KIkubwa Ayatollah kajitokeza...maana ukweli anao moyoni🤣🤣🤣
Una akili sana umechagua kukataa kuwa bendera mfuata upepoKiakili za kawaida tu em tujiulize.
Ukute ndugu yako anapigana umuache kwanza apigane kwa muda lakini baadae unaona hapana unaingilia ugomvi(Hapa ni kuona kuwa ndugu yako kazidiwa ndio tafsiri sahihi).
Baadae mnasema basi ugomvi uishe baada ya kuona mnaepigana nae ameshakuwa chizi akishika jiwe karusha,kisu kachoma.Hapa sasa ndio pakutuliza akili na kupaangalia vizuri.
Haiwezekani mtu mliepanga kumpiga hadi ashike adabu mpate nafasi yakumpiga mumzidie kama ilivyosemwa halafu mseme basi tuache ugomvi.Hili mimi silikubali nimechagua kutumia akili zangu.Na hapa situmii kauli za Iran wala Israel ila natumia akili zangu zakuzaliwa.
Kama Israel na USA wangefanikiwa kumuweka mtu kati Muiran naimani kabsa wasingemuacha yule Ayatollah maana wana hamu nae sana.
Kuna jambo tunadanganywa hapa.Propaganda ilizidi kuliko uhalisia.
Ila kukimbia kwa raia wengi wa Israel na kuelekea Cyprus na kwingineko ni picha tosha ya nini kilijiri pale.
Aisee muajemi ameushangaza ulimwengu.Sio usikute in short huo ndio uhalisia wenyewe 🤣