Kituo Kikuu cha Mawasiliano kambi ya anga ya Marekani iliyoko Qtaar kiriharibiwa na mashambulizi ya Iran

Pia makombora yaliyotumika ni mepesi sio yale mazito kama ya Khaibar na Sejjil.
Ni kweli, Wairan hawakutaka kuifanyia uharibifu mkubwa Qatar - Wairan wanaichukulia Qatar kama ndugu ie Waislaam wenzao ndio maana Iran haikutumia makombora yenye nguvu kubwa za kufanya uharibifu mkubwa. kwenye mji WA Doha na Qatar yenyewe.
 
Pia Iran na Qatar wamerudisha uhusiano wa kidiplomasia mwaka jana,wamealikana hadi kwenye maonesho ya silaha.
 
Sasa mrusi ndo ilitakiwa awafanyie German na mashoga wenzake wakitoa silaha na yeye anatembeza mkong'oto
Jamaa kaenda Marekani juzi kuomba hela ya kuja kukarabati vilivyoharibiwa. Nina imani hasara iliyopatikana ni kubwa sana. Hivyo anaweza kupewa kiasi kidogo tu cha fedha ili kuziba mapengo ya baadhi ya sehemu zilizolipuliwa.

Kwa sasa Shetaninyau hata akipewa mamilioni ya dola aanzishe tena vita na Iran hawezi kukubali kamwe. Maana atakuwa amekitafuta kifo chake yeye mwenyewe.
 
Mbishi yule ataanzisha tena tu.
 
Pentagon imekili rasmi kuwa kulitokea uharibifu mkubwa kwenye kambi yake nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya Iran.
 
Attachments

  • FB_IMG_1752252339990.jpg
    FB_IMG_1752252339990.jpg
    63.7 KB · Views: 18
Na wenyewe si warushe ya masafa marefu? Kwan lazima wapeleke midege yao ya gharama huko... Kitu watu wanatakiwa waelewe tusiishi kwa kukariri tena, technolgy inabadilika kwa kasi kila leo.. Unarushiwa kombora la gharama nafuu lenye ufanisi wa hali ya juu kwa uharibifu mkubwa mno..umbali wa makilometa.
 
Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani baada ya kushambuliwa vituo vyake vitatu vya nyuklia.

Taarifa hizo za uharibifu zina kinzana na taarifa zilizo tolewa na maafisa wa Marekani walio dai kuwa makobora yote yaliyo rushwa na Iran yalizuiwa.
View attachment 3401962

Kuvuja kwa Taarifa hizo kumewafanya baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijeshi kuanza kutilia shaka juu ya taarifa za Marekani na Israel juu ya matokeo ya vita kati yao na Iran.
Chanzo :Al Jazeera,military cognizage.
Nilisema humu wananchi wa Qatar wanasema Iran ni moto wa kuotea mbali hakuna hata Missiles walizo tungua walirusha sita nazote zimepiga Target 💯

Kuna wananchi wa Qatar walimuambia Emir wao aondoe hio base hawaitaki balaa na Iran.
 
Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani baada ya kushambuliwa vituo vyake vitatu vya nyuklia.

Taarifa hizo za uharibifu zina kinzana na taarifa zilizo tolewa na maafisa wa Marekani walio dai kuwa makobora yote yaliyo rushwa na Iran yalizuiwa.
View attachment 3401962

Kuvuja kwa Taarifa hizo kumewafanya baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijeshi kuanza kutilia shaka juu ya taarifa za Marekani na Israel juu ya matokeo ya vita kati yao na Iran.
Chanzo :Al Jazeera,military cognizage.

===
View attachment 3402226
View attachment 3402228
vilio vinaendelea kusikika siyo
 
Back
Top Bottom