Naona mengi yamefichwa ndio yanafichuka.Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani baada ya kushambuliwa vituo vyake vitatu vya nyuklia.
Taarifa hizo za uharibifu zina kinzana na taarifa zilizo tolewa na maafisa wa Marekani walio dai kuwa makobora yote yaliyo rushwa na Iran yalizuiwa.
View attachment 3401962
Kuvuja kwa Taarifa hizo kumewafanya baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijeshi kuanza kutilia shaka juu ya taarifa za Marekani na Israel juu ya matokeo ya vita kati yao na Iran.
Chanzo :Al Jazeera,military cognizage.
Acha akili za ukilaza.Sio rahisi kama musemavyo maana kobaz kwa kujifariji 😁😁😁😁😁🤣🤣🤣
Ila huyu Iran naanza kumuona kama ndio taifa teule vilee!!😃😃😃Wewe jifikirie mbwatukaji kaomba pooo sio nasikhara ujue.
Kabisa, ila media coverage zinamdogosha sanaIla huyu Iran naanza kumuona kama ndio taifa teule vilee!!😃😃😃
Maana jamaa akisema anafanya.
Mpuuzi huyo amekalia udini udini anachukulia Kila kitu ufia dini.Kampuni iliyo toa hizo picha ni ya Kimarekani.
Kwani kuwa muislamu ni kuwa mjingaKwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani baada ya kushambuliwa vituo vyake vitatu vya nyuklia.
Taarifa hizo za uharibifu zina kinzana na taarifa zilizo tolewa na maafisa wa Marekani walio dai kuwa makobora yote yaliyo rushwa na Iran yalizuiwa.
View attachment 3401962
Kuvuja kwa Taarifa hizo kumewafanya baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijeshi kuanza kutilia shaka juu ya taarifa za Marekani na Israel juu ya matokeo ya vita kati yao na Iran.
Chanzo :Al Jazeera,military cognizage.
Ona huyu mpuuzi naye!Kwani kuwa muislamu ni kuwa mjinga
USSR
Kabisa ,inawezekana Urusi ikashangaa alichofanya Iran,maana ni vitendo na sio porojo,ile vita ingeendelea kwa mwezi basi kuna taifa hivi linhekuwa kama GazaAlichofanya muiran hata mrusi hakiwezi
Hata hivyo Merikani na Qatar wanapashwa kuishukuru sana Iran wakati ilipo wapa taarifa mapema wakati wa vita ya kwanza, kwamba makombora yatashambuli kambi kubwa za jeshi la Merikani mashariki ya kati hivyo, Iran ikaipa Merikani muda mrefu wa kuweza kuhamisha wanajeshi wake kutoka kwenye KAMBI yao ya jeshi la sivyo kama makombora hayo tisa yangefinikia kuifikia kambi hiyo, ni wazi wanajeshi wengi wangekufa au wengine kupatwa na vilema vya maisha/kudumu,wanasema kambi hiyo ilikuwa inahifadhi wanajeshi wa takribani 40,000 (elfu arobaini) kama nakumbuka vizuri!!Kwa mujibu wa picha za satellite zilizo patikana hivi karibuni, zinaonesha uharibifu dhidi ya kituo kikuu cha mawasiliano cha kambi ya jeshi la anga la Marekani ya Al udeid kilichoko nchini Qtaar kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran iliyo yafanya kama jibu dhidi ya Marekani baada ya kushambuliwa vituo vyake vitatu vya nyuklia.
Taarifa hizo za uharibifu zina kinzana na taarifa zilizo tolewa na maafisa wa Marekani walio dai kuwa makobora yote yaliyo rushwa na Iran yalizuiwa.
View attachment 3401962
Kuvuja kwa Taarifa hizo kumewafanya baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kijeshi kuanza kutilia shaka juu ya taarifa za Marekani na Israel juu ya matokeo ya vita kati yao na Iran.
Chanzo :Al Jazeera,military cognizage.
Pia makombora yaliyotumika ni mepesi sio yale mazito kama ya Khaibar na Sejjil.Hata hivyo Merikani na Qatar wanapashwa kuishukuru sana Iran wakati ilipo wapa taarifa mapema wakati wa vita ya kwanza, kwamba makombora yatashambuli kambi kubwa za jeshi la Merikani mashariki ya kati hivyo, Iran ikaipa Merikani muda mrefu wa kuweza kuhamisha wanajeshi wake kutoka kwenye KAMBI yao ya jeshi la sivyo kama makombora hayo tisa yangefinikia kuifikia kambi hiyo, ni wazi wanajeshi wengi wangekufa au wengine kupatwa na vilema vya maosha/kudumu,wanasema kambi hiyo ilikuwa inahifadhi wanajeshi wa takribani 40,000 (elfu arobaini) kama nakumbuka vizuri!!
Sasa mrusi ndo ilitakiwa awafanyie German na mashoga wenzake wakitoa silaha na yeye anatembeza mkong'otoKabisa ,inawezekana Urusi ikashangaa alichofanya Iran,maana ni vitendo na sio porojo,ile vita ingeendelea kwa mwezi basi kuna taifa hivi linhekuwa kama Gaza