Kituo Kikuu cha Mawasiliano kambi ya anga ya Marekani iliyoko Qtaar kiriharibiwa na mashambulizi ya Iran

Pia makombora yaliyotumika ni mepesi sio yale mazito kama ya Khaibar na Sejjil.
Ni kweli, Wairan hawakutaka kuifanyia uharibifu mkubwa Qatar - Wairan wanaichukulia Qatar kama ndugu ie Waislaam wenzao ndio maana Iran haikutumia makombora yenye nguvu kubwa za kufanya uharibifu mkubwa. kwenye mji WA Doha na Qatar yenyewe.
 
Ni kweli, Wairan hawakutaka kuifanyia uharibifu mkubwa Qatar - Wairan wanaichukulia Qatar kama ndugu ie Waislaam wenzao ndio maana Iran haikutumia makombora yenye nguvu kubwa za kufanya uharibifu mkubwa. kwenye mji WA Doha na Qatar yenyewe.
Pia Iran na Qatar wamerudisha uhusiano wa kidiplomasia mwaka jana,wamealikana hadi kwenye maonesho ya silaha.
 
Sasa mrusi ndo ilitakiwa awafanyie German na mashoga wenzake wakitoa silaha na yeye anatembeza mkong'oto
Jamaa kaenda Marekani juzi kuomba hela ya kuja kukarabati vilivyoharibiwa. Nina imani hasara iliyopatikana ni kubwa sana. Hivyo anaweza kupewa kiasi kidogo tu cha fedha ili kuziba mapengo ya baadhi ya sehemu zilizolipuliwa.

Kwa sasa Shetaninyau hata akipewa mamilioni ya dola aanzishe tena vita na Iran hawezi kukubali kamwe. Maana atakuwa amekitafuta kifo chake yeye mwenyewe.
 
Mbishi yule ataanzisha tena tu.
 
Na wenyewe si warushe ya masafa marefu? Kwan lazima wapeleke midege yao ya gharama huko... Kitu watu wanatakiwa waelewe tusiishi kwa kukariri tena, technolgy inabadilika kwa kasi kila leo.. Unarushiwa kombora la gharama nafuu lenye ufanisi wa hali ya juu kwa uharibifu mkubwa mno..umbali wa makilometa.
 
Nilisema humu wananchi wa Qatar wanasema Iran ni moto wa kuotea mbali hakuna hata Missiles walizo tungua walirusha sita nazote zimepiga Target πŸ’―

Kuna wananchi wa Qatar walimuambia Emir wao aondoe hio base hawaitaki balaa na Iran.
 
Israel huwa hasemi hayo anaficha kuna sehemu tu pale Tela Aviv wamekuta maiti karibu 350 wao wanasema 24 hahaha

Hi video wanasema 500 wamekufa kwenye base zao tu

View: https://youtu.be/s8YqHL6cWww?si=7ZymZDwhVP5aCddA
 
vilio vinaendelea kusikika siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…