Kituo Kikuu cha Mawasiliano kambi ya anga ya Marekani iliyoko Qtaar kiriharibiwa na mashambulizi ya Iran

Nimesoma comment over 90% niseme tu, sijaelewa hasa why watu wanabishana kuhusu uzi. Uzi ulikua ni wa taarifa ya madhara yaliopatikana baada ya mashambulizi ya Iran to military bases za USA kule Doha; ambacho ambacho sijakielewa on both sides za mashabiki wa Iran na wa Israel/USA ni hiki; "kwamba mlitegemea mashambulizi yasiwe na madhara"? Yaani kombora lipigwe hata kama litadakwa, lisilete madhara kweli? Likidakwa si litashuka chini? Je linamezwa????? Yaani tunaleta ushabiki hadi kwenye facts?
 
Wayahudi wa msomela na mbambabay ndio ambao wamebaki na ujinga wa taifa teule halipigwi,ila mpka mpiga zumali kakimbilia kustopisha ile vita sio mchezo,watu walipiga na hawakuwa na porojo.
Kwa akili yako ndogo unadhani huyo Iran angeshinda angekubali kusimamisha Vita? Pili kwa akili zenu mnadhani Iran angeach kujitutumua kurusha tu mishale?
 
Acha akili za ukilaza.
Utakuwa mpumbavu wa fikra kubisha kitu kilicho wa
Mkuu unamuonea tu huyo akili anatolea
Kwa akili yako ndogo unadhani huyo Iran angeshinda angekubali kusimamisha Vita? Pili kwa akili zenu mnadhani Iran angeach kujitutumua kurusha tu mishale?
Wewe ulivyo kilaza hujui kua muda wote Iran hua anapiga au kushambulia anaposhambuliwa tu lini Iran alijipigia hovyo unaonekana ulivyo mjinga.
 
sasa hapo unataka tutumie nini kukuonyesha kua hiyo picha ni ya mchongo?
 
sasa hapo unataka tutumie nini kukuonyesha kua hiyo picha ni ya mchongo?
Kitendo cha kushindwa kuonesha kama hiyo picha ni ya mchongo ndio ushashindwa kutilia nguvu hoja yako na ishakua dhaifu kiasi kwamba hakuna atakae kuelewa hata wew mwenyewe
 
Bora Iran kazuia picha za madhara ya kichapo cha Israel pale Tehran. Hii inampa ushindi kwenye mipasho kama hivi na chawa wanafanya kazi kubwa kuonyesha alishinda.
KIkubwa Ayatollah kajitokeza...maana ukweli anao moyoni🀣🀣🀣
 
Kiakili za kawaida tu em tujiulize.

Ukute ndugu yako anapigana umuache kwanza apigane kwa muda lakini baadae unaona hapana unaingilia ugomvi(Hapa ni kuona kuwa ndugu yako kazidiwa ndio tafsiri sahihi).

Baadae mnasema basi ugomvi uishe baada ya kuona mnaepigana nae ameshakuwa chizi akishika jiwe karusha,kisu kachoma.Hapa sasa ndio pakutuliza akili na kupaangalia vizuri.

Haiwezekani mtu mliepanga kumpiga hadi ashike adabu mpate nafasi yakumpiga mumzidie kama ilivyosemwa halafu mseme basi tuache ugomvi.Hili mimi silikubali nimechagua kutumia akili zangu.Na hapa situmii kauli za Iran wala Israel ila natumia akili zangu zakuzaliwa.

Kama Israel na USA wangefanikiwa kumuweka mtu kati Muiran naimani kabsa wasingemuacha yule Ayatollah maana wana hamu nae sana.

Kuna jambo tunadanganywa hapa.Propaganda ilizidi kuliko uhalisia.

Ila kukimbia kwa raia wengi wa Israel na kuelekea Cyprus na kwingineko ni picha tosha ya nini kilijiri pale.
 
Bora Iran kazuia picha za madhara ya kichapo cha Israel pale Tehran. Hii inampa ushindi kwenye mipasho kama hivi na chawa wanafanya kazi kubwa kuonyesha alishinda.
KIkubwa Ayatollah kajitokeza...maana ukweli anao moyoni🀣🀣🀣
Iran haikuzuia picha zozote muache uongo wa kifala.
Vyombo vya habari vyote hadi BBC vilikua vikipiga picha kwa uhuru Tehran ila vyombo hivyo hivyo vilitangaza kuwa wamezuiwa kupiga picha Israel.
JF mnaishusha hadhi vilaza kama nyie.
 
Tuliza mihemko Ayatolla wa Bonyokwa🀣🀣🀣🀣
Dada yako Ayatolla ndio katoka juzi alikokuwa kajificha. Anajua nini kimetokea Tehran. Kule kubwabwaja kwamba Iran haguswi kuko wapi?!!! Kapigwa na kataifa kadogo halafu na cease fire kakubali haraka kama fala.
Kibaya zaidi Hezbollah kimyaaaaa...Houthi anarusha komboea moja moja kama naniliu vile
 
Naona nabishana na mtoto mdogo Wacha Niku ignore nisijishushe hadhi.
Another psychopath in the house.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…