Kituo Kikuu cha Mawasiliano kambi ya anga ya Marekani iliyoko Qtaar kiriharibiwa na mashambulizi ya Iran

Inaonekana hili ndio lilimstua USA baada ya kifurushi kutua Qatar na ADS zikashindwa kuintercept, inaonekana ilimtisha na kuamua kurudi kwenye drawing table kuasses tena uwezo wa Iran nje ya taarifa walizonazo za kijasusi.

ndani ya viunga vya Basra -Iraq.
 
Kuomba sizifaya kulikuwa kuna maanisha..kif*ro kinakolea.
Muajemi sio kobazi.
 
Hii ni sababu kuu iliyomfanya Trump kusitisha vita.Kambi yote ilikwishakatiwa mawasiliano.Ambacho kingefuatia ni kudundwa tu kwa Marekani ,Qattar na Israel.Kambi hiyo iikuwa haina tena mawasiliano na Pentagon.
 
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head
 
Naona mengi yamefichwa ndio yanafichuka.
Na usikute hata huko Israel hali mbaya sana sema tunafichwa tu.
Trump kuomba usitishwaji vita alikua na maana yake nahisi alipima upepo.
Sio usikute in short huo ndio uhalisia wenyewe 🤣
 
Kwa kweli hiyo ni tech ya hali ya juu sana
 
Tatizo sio Hilo tatizo ni kwamba USA/Israel walituaminisha kuwa hakuna madhara Yaliyo patikana wakati kumbe madhara yapo tena makubwa tu!?
 
Bora Iran kazuia picha za madhara ya kichapo cha Israel pale Tehran. Hii inampa ushindi kwenye mipasho kama hivi na chawa wanafanya kazi kubwa kuonyesha alishinda.
KIkubwa Ayatollah kajitokeza...maana ukweli anao moyoni🤣🤣🤣
Iran kama wameficha nyinyi Israel simnasema kuwa mna technology kubwa ya kutisha inakuwaje tena mshindwe kupata picha za madhara Yaliyo patikana Iran !? Ila nyie Jamaa bhana mnauwezo mdogo sana wa kufikiri
 
Una akili sana umechagua kukataa kuwa bendera mfuata upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…