Iran kama wameficha nyinyi Israel simnasema kuwa mna technology kubwa ya kutisha inakuwaje tena mshindwe kupata picha za madhara Yaliyo patikana Iran !? Ila nyie Jamaa bhana mnauwezo mdogo sana wa kufikiri
Wapuuzi hao wanaosema Iran anaficha madhara ilhalia correspondent wa habari toka vyombo vikubwa wanaranda randa Tehran lakini wanakwambia Israel wamekatazwa na wamefukuzwa kuripoti.
Iran kama wameficha nyinyi Israel simnasema kuwa mna technology kubwa ya kutisha inakuwaje tena mshindwe kupata picha za madhara Yaliyo patikana Iran !? Ila nyie Jamaa bhana mnauwezo mdogo sana wa kufikiri
Lengo halikuwa kupata picha. Lengo lilikuwa kupiga na pamepigwa. Hili la uwezo mdogo naona mnajizungumzia😆😆
Unajisikiaje lakini Ayatollah anapojificha wakati wewe na kobazi wenzio mlikuwa mnajinadi mzayuni hawezi kushambilia Irani??!! Mmeumbuka vibaya kweli. The stupid Iran akakubali cease fire harakaharaka.
Aibu