Uchaguzi 2020 Kituo nilipopiga kura hakuna wakala wa CHADEMA wala ACT-Wazalendo

Cha msingi mzee asituzingue, tushamwambia tunamuongezea mda sasa asituambie chochote
 
Wabongo mnapenda sana lawama za kisenge, wewe ulishindwa nini kwenda kuomba kufanya kazi ya uwakala kwa siku ya leo ?
 
Hebu acha uzushi wewe! Wewe ulikwenda kupigia kura au kuchokonoa yasiyokuhusu!?
 
Sad.
 
Chadema wanamawakala wengi sana twita! Hawafanyi yamsingi mishipa ya shingo imeshupaa eti mitandao imezimwa! Na mwaka huu watapata aibu ya mwaka!
 
Hawawezi kwenda kushinda njaa kisa kumtafutia ugali Amsterdam
 
Nadhani ulisikia figisu zilizokuwa zinaendelea kwa ma DED. Walizuia mawakala wengi sana kuapishwa. Ni maandalizi ya bao la mkono
 
Mimi nimeshuhudia kabisa Mgombea udiwani wa CCM akiingia ndani ya chumba cha kupigia kura na hakuna waliomzuia na Askari alikuwepo

Je hii ni Haki? Ni Halali?
 
Nilipopigia kura mawakala wa Chadema wamekuja bila barua
 
Chadema wanamawakala wengi sana twita! Hawafanyi yamsingi mishipa ya shingo imeshupaa eti mitandao imezimwa! Na mwaka huu watapata aibu ya mwaka!
Nilishawaambia humu litakaloongea ni box la kura sio porojo za Twitter....Magufuli anaenda kuwafundisha somo zuri leo.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Lakini mbona lissu alisema kama kituo hakina wakala wa chadema, hicho kituo kisipigwe kura. Vipi kamanda mbona tunaliacha hilo?
Nadhani ulisikia figisu zilizokuwa zinaendelea kwa ma DED. Walizuia mawakala wengi sana kuapishwa. Ni maandalizi ya bao la mkono
 
Wap hko tena
 
Figisu ni nyingi Sana. Jana usiku mawakala wamekamatwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…