Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

Kwa lugha nyepesi Kitwanga anasema Rais ni kilaza kwani hao washauri ni wateule wake mwenyewe na pia siyo kila ushauri aukubali. Sukuma Gang endeleeni tu kuishambulia Chadema na Lissu lakini adui ni CCM na Msoga Gang.
Hiyo Ndio maana yake...ukiona Mwanasiasa anasema Rais anashauriwa vibaya ...basi ujue ana maanisha Rais Hafai!
 
Hiyo Ndio maana yake...ukiona Mwanasiasa anasema Rais anashauriwa vibaya ...basi ujue ana maanisha Rais Hafai!
Kimsingi Charles Kitwanga amemdharau Samia.

Ila kwa sisi tuliosoma Cuba tunajuwa huyu mlevi anatafuta likes tu kutoka kwa followers. Yeye alikuwa ni mmoja wa washauri wa Magufuli, na ndiyo walikuwa wanamshauri vibaya
 
kasome Sheria za mashirika yote ukaone nani anatajwa kama Appointing Authority. In case of CEO ni President with recommendations from Minister and Boards of Directors of respective parastatals.

In the case of Heads of Departments ni Boards of Directors of respective institutions/ parastatals.

For employees below directors or heads of Departments ni CEO of respective institutions.

Nenda pia kasome Sheria ya Sekretariati ya Ajira utaona kuwa wanawajibika na kuajiri wafanyakazi wa Serikali Kuu. Parastatals zinaweza zikaomba msaada wao pale wanafikiri hawana capacity ya ku source certain skills.
 
Rais kwa mdomo wake

" Kun wengine mnakosea, mkiondolewa mnakimbilia kwa magodfather wenu, nao mbio hadi kwa Rais..."

Inaonekana kuna watu wako nyuma wanapush

Ndo maana kuna mambo ya ajabu ajabu yanayotokea
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Kitwanga tulia, mama yuko vizuri, sijui we unaona kipindi cha JPM ni kizuri kuliko sasa?
Sasa watu wapo salama zaidi,furaha ingeongezeka kwa Nchi, demokrasia inarudi, we unataka yale mauaji?
 
Na kama Rais kila mara anakubali huo ushauri mbaya, basi naye ndie hafai kabisa, ametokea kukiamini kikundi cha watu wachache no matter what bado anaendelea kukiamini tu, anajiharibia kabisa.

Anaonekana ameshikiwa akili, na members wa hicho kikundi nao sasa wanajua wamemshika akili, hivyo wanafanya watakavyo, matokeo yake nao sasa wamejigeuza "marais" kwenye idara zao.

Hayo ndio matokeo ya kuwa na Rais dhaifu, ni sawa na baba nyumbani asiewakanya wanae, anawaacha wafanye vile watakavyo, matokeo yake kila mtoto atajiamulia cha kufanya.
Anaona labda
 
Kitwanga anasema kuna kundi ambalo limejipenyeza kwa rais na kila mahala linamshauri vibaya Rais.

==========


WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema kuna kundi linalomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan ambalo limekuwa likiweka vigingi kwa watu, wakiwamo wataalamu, wanaotaka kushauri kuhusu mambo mema ya kuipeleka nchini pazuri zaidi.

Kitwanga amesema mbali na kuweka vigingi kwa watu wenye nia njema, kundi hilo limekuwa likiwaona tishio, hivyo kuwachafua, ili kulinda masilahi binafsi. Amemwomba Rais kuwa makini na kundi hilo.

Kitwanga alisema hayo jana Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea nchini na kwamba ameona kuna umuhimu wa kumshauri Rais Samia kupitia vyombo vya habari.

Alisema kundi hilo limejipenyeza katika kila sekta zikiwamo taasisi za umma na kwamba lengo lake ni kuharibu nchi kwa maslahi binafsi.

Chanzo: Nipashe
Alicho kisema Mh kina ukweli mkubwa hasa ukizingatia Kuna usiri mkubwa ktk mambo yakitaifa. Watu wamelala ila yanayo endelea yanatisha let hope for good.
 
Sio Tu kujua bei Hadi kujua industry ikoje..Nani wanaofaidika...
Bashe kamshawishi Samia kuwa kufungua mipaka kunafaidisha wakulima ..wanauza bei nzuri vyakula Kenya,Commoro etc...while kiukweli wakulima ndo wamepigwa..
Madalali walishanunua vyakula wakati wa mavuno wakahifadhi now ndo wanauza huko nje...Bashe anadanganya watu anatetea 'wakulima' while wakulima wenyewe wanalia...bei za vyakula Tz now ni historic....haijawi kutokea..
Ma Rais wote kipindi hiki walikuwa wanafunga mipaka Ku control bei..

Juzi waziri mwingine anakuja na solution ingine ya kuagiza vyakula nje ili Ku offset bei ya vyakula ya ndani...

Rais kama Yuko katikati...hajui aende na lipi huku watu wanaumia....

Rais kiuhakika anahitaji watu wa kumpa taarifa sahihi na kujua exactly hao watu sahihi wako wapi
Bashe ni Moja ya mawaziri wasanii sana , hili la Chakula tumezungumza sana ila akakaza fuvu

Pia hii BBT aliyoanzisha itafeli sababu , vijana wengi wa Kitanzania hawapendi kilimo ila wanapenda Posho kwenye training au seminar za kilimo
 
wanagenge wameanza kujitokeza. Mnafki mkubwa huyu mchawi. Yeye aliposema raia wakazikwe na magufuli alipima kauli? Makamba aliposema wazuri hawafi alijitokeza wapi kusema watu wapime kauli? Mwisho wa watu kama hawa hua mbaya sana
Huyu ni mbwa koko mmoja mlamba asali. Sasa hivi yeye kazi yake ni kumkingia kifua Samia kwa gharama yoyote ile kwa sababu tu ya uislamu. Zitto anasema anaempinga samia anapinga uislamu hivyo atapambana kuhakikisha samia yuko salama.
 
Hivi tuna Rais asiye na akili zake yeye mwenyewe?

Tuna Rais asiye na uwezo wa kutenganisha pumba na mchele?

Huwa sizielewi kabisa hizi habari za Rais kushauriwa vibaya!
Sio Tz tu, kwa Afrika yote hayo uliyouliza yanawezeka kabisa.
VIongozi wengi bongo wana 'akili' za kawaida mnoo mfumo wetu wa kupata viongozi ni wa hovyo sana.
 
Na kama Rais kila mara anakubali huo ushauri mbaya, basi naye ndie hafai kabisa, ametokea kukiamini kikundi cha watu wachache no matter what bado anaendelea kukiamini tu, anajiharibia kabisa.

Anaonekana ameshikiwa akili, na members wa hicho kikundi nao sasa wanajua wamemshika akili, hivyo wanafanya watakavyo, matokeo yake nao sasa wamejigeuza "marais" kwenye idara zao.

Hayo ndio matokeo ya kuwa na Rais dhaifu, ni sawa na baba nyumbani asiewakanya wanae, anawaacha wafanye vile watakavyo, matokeo yake kila mtoto atajiamulia cha kufanya.
Ushauri upi mbaya aliopewa Rais ?
 
Hivi tuna Rais asiye na akili zake yeye mwenyewe?

Tuna Rais asiye na uwezo wa kutenganisha pumba na mchele?

Huwa sizielewi kabisa hizi habari za Rais kushauriwa vibaya!
Rais anashauriwa vibaya na sukuma gang.
 
Bwana kitwanga fanya home work yako.
Halafu pia weka mapendekezo ya shauri ambazo wewe unaona ni nzuri na list ya watu ambayo wewe unadhani wanafaa kumshauri rais
Ushauri wake ndio huo kuwa Mama anashauriwa vibaya
 
Back
Top Bottom