Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

Rohosiotam imekaa kimaslahi binafsi ya kibiashara zaidi.
 
Acheni Rais aongoze kila zama na kitabu chake aisee, mbona wengine walilishauri bunge wakiwa wamelewa pombe?
 
Una umri gani?
Unajua RTC?
Nina umri wa kukumbuka kupanga jiwe katika foleni ya duka la kaya la CCM Upanga Magharibi, na kulazimishwa kununua unga wa muhogo wakati tunataka kununua sukari. Na muda huo huo kwenda duka la Baba Taybal kununua betri.

Naijua RTC lakini uwepo wa RTC haubatilishi uwepo wa duka la baba Taybal, swali lako ni "logical non sequitur".

Kwa maswali haya unajionesha hujaweza kuiangalia hoja kwa kina.

Hicho kitabu cha Profesa Issa G. Shivji nilichokitaja umekisoma?
 
Acheni Rais aongoze kila zama na kitabu chake aisee, mbona wengine walilishauri bunge wakiwa wamelewa pombe?
Ndio hicho kitabu sasa wasomaji wanakichambua. Kwani kitabu kinawekwa mezani tu?
 
Mazee hii story nimewahi isikia only nilitajiwa jina la Mzee Tabu Mangara..aliekuwa Mwenyekiti Yanga ......kila kitu the same na ulivyoeleza... except jina la huyo Mzee.
Mazee baada ya kuhakiki na kukuta huyu mzee alikuwa ni Tabu Mangala kama unavyosema, nikarejea kukumbuka wazee wote wa top Yanga mashushushu.

For real.

Nyerere alijua kutumia klabu za michezo kisiasa, kwa sababu yeye mwenyewe mzee aliyetokea kwenye historia ndefu ya klabu za "michezo" zilizoanzia na TAA, kwenda TANU, mpaka CCM.

Alifundwa na kujua kwamba, there is a thin line between formal and informal politics.

Hivyo, hata ushauri unaopewa katika formal setting inabidi uuhakiki kwenye informal circles.

Kwa sababu huko kwenye informal circle ndiko unapata political legitimacy na kura.

Sina hakika kama rais wetu wa sasa anajua hilo.
 
Na kama Rais kila mara anakubali huo ushauri mbaya, basi naye ndie hafai kabisa, ametokea kukiamini kikundi cha watu wachache no matter what bado anaendelea kukiamini tu, anajiharibia kabisa.

Anaonekana ameshikiwa akili, na members wa hicho kikundi nao sasa wanajua wamemshika akili, hivyo wanafanya watakavyo, matokeo yake nao sasa wamejigeuza "marais" kwenye idara zao.

Hayo ndio matokeo ya kuwa na Rais dhaifu, ni sawa na baba nyumbani asiewakanya wanae, anawaacha wafanye vile watakavyo, matokeo yake kila mtoto atajiamulia cha kufanya.
Hii ndiyo point kubwa kabisa. Rais ndiye decider; anapopewa ushauri anatakiwa aupime kabla hajatoa uamuzi. Akitoa uamuzi mbaya ni makosa yake siyo makosa ya washauri wake.
 
Watu mmesahau Kitwanga alimshauri JPM asinunue ndege Bombardia tena kwa cash,nakumuudhi sana Rais kwa wakati huo, lakini hakuogopa kusema pamoja na urafiki. Mimi ninamwamini huyu jamaa anasemaga kinachosemwa na wengi. Tusikilize hoja zake na siyo siyo sura yake.
 
Kitwanga sounds like a smart guy, basi tu.

Unajua watu smart mara nyingine huwa wanapata frustrations sana kwenye maisha mpaka wanaishia kumalizia kunywa halafu wanaonekana kituko.

Halafu Kitwanga alikuwa anamjua JPM kabla JPM hajawa rais, hivyo hakuwa na filter ya kuongea na JPM kama rais.

Hili ni tatizo lililomkuta Ulimwengu kwa Ben Mkapa pia.

Yani unakaa na mshkaji wako Ben Palm Beach mnakunywa, unafikiri huyu Ben, kumbe mwenzako kashapewa nyota na ulimwengu amekuwa a force of nature, si Ben yule unayemjua aliyekuwa anakunywa Scotch Whisky mpaka unamuinua tena!
 
Mazee baada ya kuhakiki na kukuta huyu mzee alikuwa ni Tabu Mangala kama unavyosema, nikarejea kukumbuka wazee wote wa top Yanga mashushushu.

For real.

Nyerere alijua kutumia klabu za michezo kisiasa, kwa sababu yeye mwenyewe mzee aliyetokea kwenye historia ndefu ya klabu za "michezo" zilizoanzia na TAA, kwenda TANU, mpaka CCM.

Alifundwa na kujua kwamba, there is a thin line between formal and informal politics.

Hivyo, hata ushauri unaopewa katika formal setting inabidi uuhakiki kwenye informal circles.

Kwa sababu huko kwenye informal circle ndiko unapata political legitimacy na kura.

Sina hakika kama rais wetu wa sasa anajua hilo.

Nafikiri ni Nyerere Tu na Kikwete kidogo ndo waliokuwa wanajali Sana "sauti za kutoka mitaani"..

Kikwete alijijenga vile toka wakati Yuko waziri anaenda Saigon anaenda Magomeni na vijiwe kadhaa ....the rest wanategemea Sana officials ambao Wengine hawana kabisa "common touch"...

Nyerere hata Ile set up ya "wajumbe wa nyumba kumi" ilikuwa very strong kupita hata hii ya sasa ya "mtendaji wa serikali ya mtaa"....

Ajabu Nyerere alitumia watu wenye limited education better kuliko now tunavyotumia "wasomi" to run things..
 
Hili suala la rais kujua mambo ya wananchi moja kwa moja ni muhimu sana.

Rais George Bush (Baba) alipata scandal kwa kuwa alionekana kutojua bei za vitu Marekani.
 
Sio Tu kujua bei Hadi kujua industry ikoje..Nani wanaofaidika...
Bashe kamshawishi Samia kuwa kufungua mipaka kunafaidisha wakulima ..wanauza bei nzuri vyakula Kenya,Commoro etc...while kiukweli wakulima ndo wamepigwa..
Madalali walishanunua vyakula wakati wa mavuno wakahifadhi now ndo wanauza huko nje...Bashe anadanganya watu anatetea 'wakulima' while wakulima wenyewe wanalia...bei za vyakula Tz now ni historic....haijawi kutokea..
Ma Rais wote kipindi hiki walikuwa wanafunga mipaka Ku control bei..

Juzi waziri mwingine anakuja na solution ingine ya kuagiza vyakula nje ili Ku offset bei ya vyakula ya ndani...

Rais kama Yuko katikati...hajui aende na lipi huku watu wanaumia....

Rais kiuhakika anahitaji watu wa kumpa taarifa sahihi na kujua exactly hao watu sahihi wako wapi
 
Kwa sasa wakulima wanatakiwa kuwakata hao madalali, mambo yote yako mitandaoni.

Wakulima wakipigwa, wakati washafunguiwa mitandao kujua bei z akimataifa zinaendaje, hilo ni tatizo lao, si tatizo la nchi.

I am with Bashe on that.
 
Mkuu shughuli za kilimo Tanzania huzijui kabisa. Kwamba wauze mitandaoni? Hakuna kitu kama hicho.

Sehemu kubwa ya wakulima Tanzania wanalima ili kuishi, kujikimu, ni wachache wenye uwezo wa kulima, kuvuna na kuhifadhi kutafta soko, na hao hawalimi wananunua kwa wakulima.

Kilimo Tanzania ni changamoto kubwa, hadi mazao yanamfikia mlaji yamepita kwenye mikono ya madalali ama watu kati karibu 9.
 
Nina umri wa kukumbuka kupanga jiwe katika foleni ya duka la kaya la CCM Upanga Magharibi, na kulazimishwa kununua unga wa muhogo wakati tunataka kununua sukari. Na muda huo huo kwenda duka la Baba Taybal kununua betri.

Naijua RTC lakini uwepo wa RTC haubatilishi uwepo wa duka la baba Taybal, swali lako ni "logical non sequitur".

Kwa maswali haya unajionesha hujaweza kuiangalia hoja kwa kina.

Hicho kitabu cha Profesa Issa G. Shivji nilichokitaja umekisoma?
🧠

🏋‍♂️
 
Back
Top Bottom