Kitwanga: Kuna kundi linalomshauri vibaya Rais Samia

Kwa lugha nyepesi Kitwanga anasema Rais ni kilaza kwani hao washauri ni wateule wake mwenyewe na pia siyo kila ushauri aukubali. Sukuma Gang endeleeni tu kuishambulia Chadema na Lissu lakini adui ni CCM na Msoga Gang.
Hiyo Ndio maana yake...ukiona Mwanasiasa anasema Rais anashauriwa vibaya ...basi ujue ana maanisha Rais Hafai!
 
Kitwanga aendelee kunywa konyagi zake taratibu nchi inakwenda vizuri kupindukia, #SU-GA, wanapata tabu sana, wakubali tu matokeo waone hizi ni zama za wengine kuongoza, Mbona hawakukosoa ndani ya awamu ya tano?
 
Hiyo Ndio maana yake...ukiona Mwanasiasa anasema Rais anashauriwa vibaya ...basi ujue ana maanisha Rais Hafai!
Kimsingi Charles Kitwanga amemdharau Samia.

Ila kwa sisi tuliosoma Cuba tunajuwa huyu mlevi anatafuta likes tu kutoka kwa followers. Yeye alikuwa ni mmoja wa washauri wa Magufuli, na ndiyo walikuwa wanamshauri vibaya
 
kasome Sheria za mashirika yote ukaone nani anatajwa kama Appointing Authority. In case of CEO ni President with recommendations from Minister and Boards of Directors of respective parastatals.

In the case of Heads of Departments ni Boards of Directors of respective institutions/ parastatals.

For employees below directors or heads of Departments ni CEO of respective institutions.

Nenda pia kasome Sheria ya Sekretariati ya Ajira utaona kuwa wanawajibika na kuajiri wafanyakazi wa Serikali Kuu. Parastatals zinaweza zikaomba msaada wao pale wanafikiri hawana capacity ya ku source certain skills.
 
Rais kwa mdomo wake

" Kun wengine mnakosea, mkiondolewa mnakimbilia kwa magodfather wenu, nao mbio hadi kwa Rais..."

Inaonekana kuna watu wako nyuma wanapush

Ndo maana kuna mambo ya ajabu ajabu yanayotokea
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Kitwanga tulia, mama yuko vizuri, sijui we unaona kipindi cha JPM ni kizuri kuliko sasa?
Sasa watu wapo salama zaidi,furaha ingeongezeka kwa Nchi, demokrasia inarudi, we unataka yale mauaji?
 
Anaona labda
 
Alicho kisema Mh kina ukweli mkubwa hasa ukizingatia Kuna usiri mkubwa ktk mambo yakitaifa. Watu wamelala ila yanayo endelea yanatisha let hope for good.
 
Bashe ni Moja ya mawaziri wasanii sana , hili la Chakula tumezungumza sana ila akakaza fuvu

Pia hii BBT aliyoanzisha itafeli sababu , vijana wengi wa Kitanzania hawapendi kilimo ila wanapenda Posho kwenye training au seminar za kilimo
 
wanagenge wameanza kujitokeza. Mnafki mkubwa huyu mchawi. Yeye aliposema raia wakazikwe na magufuli alipima kauli? Makamba aliposema wazuri hawafi alijitokeza wapi kusema watu wapime kauli? Mwisho wa watu kama hawa hua mbaya sana
Huyu ni mbwa koko mmoja mlamba asali. Sasa hivi yeye kazi yake ni kumkingia kifua Samia kwa gharama yoyote ile kwa sababu tu ya uislamu. Zitto anasema anaempinga samia anapinga uislamu hivyo atapambana kuhakikisha samia yuko salama.
 
Hivi tuna Rais asiye na akili zake yeye mwenyewe?

Tuna Rais asiye na uwezo wa kutenganisha pumba na mchele?

Huwa sizielewi kabisa hizi habari za Rais kushauriwa vibaya!
Sio Tz tu, kwa Afrika yote hayo uliyouliza yanawezeka kabisa.
VIongozi wengi bongo wana 'akili' za kawaida mnoo mfumo wetu wa kupata viongozi ni wa hovyo sana.
 
Ushauri upi mbaya aliopewa Rais ?
 
Hivi tuna Rais asiye na akili zake yeye mwenyewe?

Tuna Rais asiye na uwezo wa kutenganisha pumba na mchele?

Huwa sizielewi kabisa hizi habari za Rais kushauriwa vibaya!
Rais anashauriwa vibaya na sukuma gang.
 
Bwana kitwanga fanya home work yako.
Halafu pia weka mapendekezo ya shauri ambazo wewe unaona ni nzuri na list ya watu ambayo wewe unadhani wanafaa kumshauri rais
Ushauri wake ndio huo kuwa Mama anashauriwa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…